Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,652
- 863,504
- Thread starter
- #38,141
View: https://vm.tiktok.com/ZSVUK9EHy/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Mchina anatengeneza pepsi uwani kwake tu vingunguti anasupply😁Bora uweke juice kwenye friji, hizo za viwandani magonjwa
Muda huo kiwanda cha Pepsi wapo wapiMchina anatengeneza pepsi uwani kwake tu vingunguti anasupply😁
Kama wanatengeneza na kuuza Grants, Jack Daniel kila kitu washindwe pepsi ambayo hata mimi naitengeneza hapo fasta.Muda huo kiwanda cha Pepsi wapo wapi
Chachandu ipo wapi?
😘Get well soon Mawardat View attachment 3658929