Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 373,732
- 865,727
- Thread starter
- #38,161
View: https://vm.tiktok.com/ZSVtfLhPk/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Mashaallah naona upo vizur mwenetu,lakini hicho chakula laini laini,kwahiyo hapo sikupi maksi za kula sana,siku nionyeshe wali au ugali au ndizi vyakula vizito ndo ntajua we mlaji au laashem x umekula?,,, hapa nimefuta pekeangu alf nikaongeza na kidogo cha kukazia utumbo😜😜😅
eiishhhhh hauoni plate ilivyo full?,, enwei nitakuonesha hizoooo unazo zitaka shem akeMashaallah naona upo vizur mwenetu,lakini hicho chakula laini laini,kwahiyo hapo sikupi maksi za kula sana,siku nionyeshe wali au ugali au ndizi vyakula vizito ndo ntajua we mlaji au laa
Plate ndio imejaa lakini laini laini,so shem siku tupia hizo mambo,ila sio unitupie chakula cha mtu mwingine useme chako🤣🤣eiishhhhh hauoni plate ilivyo full?,, enwei nitakuonesha hizoooo unazo zitaka shem ake
mi sijuagi kudanganya😆, nikitupia nitakuitaPlate ndio imejaa lakini laini laini,so shem siku tupia hizo mambo,ila sio unitupie chakula cha mtu mwingine useme chako🤣🤣
Hujui kudanganya kabisa🤣🤣🤣 sio kwelimi sijuagi kudanganya😆, nikitupia nitakuita
kweli vile, kudanganya sijui labda kama ni utani wa hapa na pale 😉Hujui kudanganya kabisa🤣🤣🤣 sio kweli
We mtoto wa kishua sana ujue, unapata vitu flan hivi laini laini🤣🤣x shem umekula?
sio ushua nimeamua kula mboga maan nguvu za kusonga ugali zimeisha😅We mtoto wa kishua sana ujue, unapata vitu flan hivi laini laini🤣🤣
Mwaka wa Mbele anakulisha vizurix shem umekula?
Ila nguvu za kula mayai,nyama,mboga unazo hahahsio ushua nimeamua kula mboga maan nguvu za kusonga ugali zimeisha😅
weeeh huyo muongo muongo sijawahi kuona hata senti yake😀Mwaka wa Mbele anakulisha vizuri
eee na kweny hako ka glass kanako chomoza kuna maziwa mtindi😊Ila nguvu za kula mayai,nyama,mboga unazo hahah