win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,181
- 34,266
ephen_ waambie majaji kwamba chips ya nyumbani sio tamu kama ya vibanda vya chips
Ertugrul Bey mda wa dinner huku
Ertugrul Bey mda wa dinner huku
Dah! Winone unakula vizuri mwenyeweephen_ waambie majaji kwamba chips ya nyumbani sio tamu kama ya vibanda vya chips
Ertugrul Bey mda wa dinner huku
hapa home nimetoa kila kitu pekeangu isipokua soda na tomato,,, mpka j2 hamu si itakua kwishnei auDah! Winone unakula vizuri mwenyewe
Hapo home au kibanda umiza?
Jumapili nitamwambia dada anipikie na mimi
Kesho sina wa kunipikia.hapa home nimetoa kila kitu pekeangu isipokua soda na tomato,,, mpka j2 hamu si itakua kwishnei au
Asanteee baby girl, mwenetu katika sekta ya maakuli huwa huna show mbovu wallahephen_ waambie majaji kwamba chips ya nyumbani sio tamu kama ya vibanda vya chips
Ertugrul Bey mda wa dinner huku
Kwani we mwenyewe huwezi kupika,au nawe ushaanza kuwa wa kishuaKesho sina wa kunipikia.
kaweka tips hawezi kukata vitunguu wala kumenya chochoteKwani we mwenyewe huwezi kupika,au nawe ushaanza kuwa wa kishua
ooh,, kwahiyo kesho ni mwendo wa kulamba chumvi unashushia na maji ya kunywa😄Kesho sina wa kunipikia.
Nitakula vyakula vingineooh,, kwahiyo kesho ni mwendo wa kulamba chumvi unashushia na maji ya kunywa😄
Nakuja 🤗Kesho sina wa kunipikia.