Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ila daslam bwana, wali kidogo hivi 2,500😅
20260810_121158.jpg
 
Hahaha mkuu umenikumbusha juzi nilienda harusi ya mdogo wa rafiki yangu, nikajikuta nimepiga selfie na pilau kabla hata ya kuanza kugawa... watu wakasema nimepoteza akili 😂😂 Lakini chakula cha sherehe kina nguvu ya kipekee, hasa ule wali wa nazi na maharage ya nazi... mmmh! bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom