Msosi wa sherehe utaujua tu
Mpaka mate yanajaa mdomoni njaaa kinoma
Msosi wa sherehe utaujua tu
mbona kachumberiiii ni chache,, hap ushushie na Pepsi yako baridiii unasahau shida za dunia kwa mda mchache au nakosea Abuju buju😅😅
Nipo nafuatilia kwa ukaribu sanaambona kachumberiiii ni chache,, hap ushushie na Pepsi yako baridiii unasahau shida za dunia kwa mda mchache au nakosea Abuju buju😅😅