Acha basi😂😂😂Wateja walipungua huu mwezi, naona Mbuzi Katoliki amepotea ghafla mitaani kumbe walaji mmeongezeka
Mmefungulia vyoteAcha basi😂😂😂
HaaaMdudu kilo shingapi huko kwa leo
13000 mkuuMdudu kilo shingapi huko kwa leo
Acha basi 😂😂😂Usituharibie Funga Mkuu
Nakukumbusha Bado Sita
Huku moro 12000 🙌13000 mkuu
Huku 16,000Huku moro 12000 🙌
12000 Kwa 13000 ila Jana niliotea mahal kilo 10k ukitoa 11k unapata kachumbali na ndizi juuHuku moro 12000 🙌
Huyu mdudu kumbe sio wa kitotoHuku 16,000
Mdudu ana bei na ukiingia huko mjini kati anauzwa kuanzia 25KHuyu mdudu kumbe sio wa kitoto