Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,449
- 6,999
Enjoy maisha mkuu
hapo ukijamba nzi wenyewe wanakushangaa inakuwaje mpaka sasa u haiView attachment 3284572
Bomoa mwili...
Jenga mwili...
Kazi na dawa...
Baga
Kachumberi ya majani mabichi
Makandee...😋😋😋
Si utapata madonda, inasaidia nini kufanya hivyo?24 kavu, kuanzia 36 kuelekea 48 ukiweza unavuta kavu. Ukiona macho yanageuka unakula tunda moja lenye sukari mara moja hadi kesho yake.
Kuna kipindi nilikuwa nasubiria jambo, nilikaa masaa 72 kavu.
Mind you, 24 kavu na kazini naenda ila kazi ya kukaa sio ya mikikimikiki.
Ila 72 nilikuwa ndani nyumbani, nilikuwa natoka kitandani chooni kitandani tena, kuamka, kulala, kuamka.... it was awful with blessings.