Mchawi mbogaView attachment 3284276
Masaa 48 bila kula? Unakuwa unakunywa vinywaji vingine?Dawa mojawapo ya kusafisha tumbo ni kuliweka mbali na chakula kwa siku 2 yaani masaa 48, ukishindwa masaa 36 sio mbaya.
Na unafanya hivi ukiwa na chakula cha kutosha kupika au kununua na kula.
Masaa 48 bila kula? Unakuwa unakunywa vinywaji vingine?