Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Kwa kweli nimeona nichangie tu
Watu wengi wanapoteza mda mwingi kupika vyakula vingi ambapo ndio tumejifanyia utaratibu huo wa kula kula tu mwezi wa toba
Lakini kuna mataifa mengine nimewaona wanatengeneza vitu simple kama fruit salad na maziwa waliochanganya na ladha tofauti.
Hiyo inawapa mda hata kina mama wafanye Ibada zaidi na kumuomba Mungu sana.
Kwani ni mwezi wa toba na kuomba sana sio Kula sana



