Kinavutia hatari
Yani wewe haya banah
Naomba unipikie keki
Mkuu bila shaka wewe ni muumuni wa kazi za usiku... hilo nguna si mchezo.
Mm napenda sea food hatari
Maziwa unakunywa kisado sio mchezo
Karibu tule
Chaiii inabid nifanye mpango nije kulaKaribu tule
Kidogo tu sio sanaChaiii inabid nifanye mpango nije kula
Yaan nimekuona unapika on point tuu![]()
Uko njema


Aiiii! Wanajua huwa hawajisifiiKidogo tu sio sana![]()