Na tui na stamina ya maana. Kazi njemaKazi kazini mkuu![]()

Mboga ya kwenye frying panimenitoa udenda


Hizo nyama kama kitimotoKienyeji enyeji tu, karibuni.View attachment 754676View attachment 754678
Mkuu sio vizuri ujue kutamanishana
Hiyo pembeni ni chachandu? Nimetamani
Mkuu sio vizuri ujue kutamanishana


Chachandu ina pilipili eeh? Hii haina ni sauce tu ya nyanya, thomu, binzari, ndimu na chumvi.Hiyo pembeni ni chachandu? Nimetamani