Duh huu mzigo ni noma!Tumefturu..View attachment 782156
Wasukuma nini hawa?Huu upishi wa kabila gani? Au ni ugunduzi binafsi?
Thus ma men..sio vichipsi chipsi na pilipili nyingi kama baadhi ya wanaume wa........View attachment 783886Ki ukweli I can not recall the last time nimekula ugali mandoondoo na kitu cha kabichi pale. Nilitamani kurudi tena jikoni.
Tutakuwa tunapost kama hizi tuView attachment 780261
Umeolewa? Maana inaonekana unajua sana kupikaFutar ya maboga na sosi ya nyama + juice ya parachichi na passionView attachment 783932