Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Samahani mkuu, nipe code ya kupata hii kitu tafadharii
Hayo juu ni mafuta?
Hapo vyote vikavu, ongezea veges na mtindiz!
Huu upishi wa kabila gani? Au ni ugunduzi binafsi?
Baeeeee nina njaaa mwenzioInnovation n creation in cookery
Yaani wewe, salama nipo barabarani hapa, one day nitakuonesha ninavyomkaanga changu mzima kwa chipsi

