Vitu vyetu hivi, maeneo ya Tandika
Tamu buana, then kale katest kake ka passion, kako vizuriOna sasa..zina utamu gani hizo![]()
Kumbe akili zangu zinanitosha mwenyeweMo passion vijuisi vya watoto wa shule ya msingi,me nna rafiki yangu anapenda swiss hatari!!
Nimejaza viSayona Twist nasema ni moPassion

Khaaa asee umenikumbusha home Arusha semehu moja inaitwa mchongomani au cheka ung'atwe tulikua tunakula pua na ulimi kila siku
Arusha nipo nakuja kesho sijui bonge bado yupo?Boarding skuliDinner![]()
![]()
Kitu cha sato..dah afya tupu...

Huuu mzigo sasa ndio wa kiume. Sio mwanaume anakunywa castle lite sijui serengeti lite