Missyrose kwa chapati unastahili tuzo
Hahaha... Usife moyo utakula tuJamani jamani roho yangu mieeee
Kabisa Mamy

Leo jamani msituumize mioyo sisi masela wa ghetto tunaoshindia mkate na mo passion![]()
![]()
![]()
![]()
nimecheka..Mi ndio nimezijaza kwenye jokofu kama kiwanda![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nimecheka..
Nna ndugu yangu anapenda Mo passion akiikosa anatetemeka..

Leo jamani msituumize mioyo sisi masela wa ghetto tunaoshindia mkate na mo passion![]()
![]()
![]()
![]()
mkuu pambana tu na hali yako, au kama vp kadoee kwa jirani
Hapa safi.sana
Ngoja nioe namimi nipikiwe mahanjumati aseePole chalii