Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Mkuu nimetulia, kwa upendo tu, huwa nimpikie rafiki uangu kile akipendacho. AfurahieHujatulia wewe! Angalia ulichoandika sasa. Sina shida na weye Amiii!
Mkuu nimetulia, kwa upendo tu, huwa nimpikie rafiki uangu kile akipendacho. AfurahieHujatulia wewe! Angalia ulichoandika sasa. Sina shida na weye Amiii!
Mhh!! Rafiki "uangu" ...Mkuu nimetulia, kwa upendo tu, huwa nimpikie rafiki uangu kile akipendacho. Afurahie

Mhh!! Rafiki "uangu" ...![]()
nilikusudia "rafiki yangu"
![]()
![]()
kwanza hapa nilipo nishakula vyangu, pengine ndio maana sikuelewi vizuri babulakibahaKaribu kwangu nikupikie

Nilishafahamu hilo Amii. Polee!! Kesho tenaa! Usiku mwema
Ok, tukijaaliwa.Nilishafahamu hilo Amii. Polee!! Kesho tenaa! Usiku mwema

Mme wangu nimechelewa leo kulaaa si unajua nilikuwa na mishe gani leooo.View attachment 724042View attachment 724043

Dah usijali kabisa mumie wanguMme wangu nimechelewa leo kulaaa si unajua nilikuwa na mishe gani leooo.View attachment 724042View attachment 724043
Missy rose nakuuliza kwa mara nyingine tena umeolewa?
We mrembo unakulaje chips kavu?View attachment 724063karibun waungwana ingawa nimechelewaa
Hizo pipi kwa ajili ya kuwavutia wahudumu wasikauke kwenye mezaaaHizo pipi za nini?
Windock

Missy rose nakuuliza kwa mara nyingine tena umeolewa?
Nijibu tafadhali maana unaonekana upo vizuri jikoniHaha..