Yaani comments zako kwenye vyakula vya watu zinanchekesha saana.Oooh
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
Yaani comments zako kwenye vyakula vya watu zinanchekesha saana.Oooh
Mkuu, nyama gani hiyo?Wale wa maeneo ya sinza...karibuni haya maeneo yetu![]()
White meat. Noma Sana. Hi unashushia na K V
Mkuu umenikumbusha kwa bibi.hasa huo mlenda.
Mmh hii itakua dozi ya kukuza matako, sishaur wanaume watumie hii