babulakibaha
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 287
- 326
Ngoja nioe namimi nipikiwe mahanjumati asee
Hee!! Si umesema ww mselaa. Vp tena upikiwe?? Au ndo vile .............. 😎
Ngoja nioe namimi nipikiwe mahanjumati asee
Sindio siwezi kupika naona uvivu kwenye kuosha vyombo ndio maana naona nikioa itapendeza zaidiHee!! Si umesema ww mselaa. Vp tena upikiwe?? Au ndo vile .............. 😎
Hapo sawa chaliiSindio siwezi kupika naona uvivu kwenye kuosha vyombo ndio maana naona nikioa itapendeza zaidi
Leo ndo tupo huku. KaribuniSindio siwezi kupika naona uvivu kwenye kuosha vyombo ndio maana naona nikioa itapendeza zaidi
Utaalikwa tu Amii. Muhimu uzimaNyie si mmeninyima mwaliko wa Pasaka "Mkumbuke Eid haiko mbali"![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Lile pishi lako vp la leo ili tuje na bia?Nyie si mmeninyima mwaliko wa Pasaka "Mkumbuke Eid haiko mbali"![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ile ilikuwa kabla ya saa4 asubuhiLile pishi lako vp la leo ili tuje na bia?

Ahaaa! Sawa AmiiIle ilikuwa kabla ya saa4 asubuhi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mo passion vijuisi vya watoto wa shule ya msingi,me nna rafiki yangu anapenda swiss hatari!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nimecheka..
Nna ndugu yangu anapenda Mo passion akiikosa anatetemeka..
Duh! Mi nimevijaza hapaMo passion vijuisi vya watoto wa shule ya msingi,me nna rafiki yangu anapenda swiss hatari!!
Dadeki. Upo vizuri
Makede a mbuji
Inaitwa Ashua MkuuMakede a mbuji
Mo passion vijuisi vya watoto wa shule ya msingi,me nna rafiki yangu anapenda swiss hatari!!

