Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Rainyday
Hiki chakula sikipendi kuliko maelezo.Hayo hapo
Dagaa badaeView attachment 719384
Hii ni shawarma eeh?
Hahahaha watoto wa kike mnavyokula bhanaView attachment 731116mida ya chai
Na mate umentoa mkuu, hapa nameza mate tu.Nashiba tu kwa status za watuView attachment 731398
Hapo unakuwa na kachumbar pembeni au mboga nyingine ambayo umeunga ipo pembeni?
Asikudanganye mtu bhana, kachumbari ina utamu wake jamani.
Hii ni nini Mkuu?
Vanilla umeitengeneza mwenyewe?Wapendwa karibuni ICE-CREAM, kitu banana flavour, vanilla, 100%home made![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 732317View attachment 732318View attachment 732319
Mkuu, ni nini hiki?
Huu uzi hapana aiseeee