Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,211
- 27,034
Tambi
Maharage
Chai ya mdalasini,karafuu,tangawizi.
Maisha yanataka nini zaidi!?
Maharage
Chai ya mdalasini,karafuu,tangawizi.
Maisha yanataka nini zaidi!?
Me huwa nachagua vilivyounguaungua 😀
Mikate ya kumimina, kitambo kidogo
Hii tabia yako ya kula gizani ngoja ule konokono.
[emoji38]Hii tabia yako ya kula gizani ngoja ule konokono.
Umeutingishs utumbo wangu [emoji19][emoji19]Ugali dagaa wa naziView attachment 2032508
Sipati picha ya end product ya hii mix