Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Rafiki tumbo la ugali kwa kitimoto cha Tekenya haliwezi kutikiswa na ugali dagaa.Umeutingishs utumbo wangu![]()
Rafiki tumbo la ugali kwa kitimoto cha Tekenya haliwezi kutikiswa na ugali dagaa.Umeutingishs utumbo wangu![]()
Unatumia avatar yangu bila ruhusa yangu.Nami nianze kutumia ya kwako?
Ua missed
Chief samahani, unapatikana wapi nije kukutembelea?!
Nipo Zanzibar kulipiza kisasi👇😁😁😁Yangu ina haki na hati miliki yako haina..![]()
Rafiki ugali dagaa ni kati ya vyakula napenda sanaRafiki tumbo la ugali kwa kitimoto cha Tekenya haliwezi kutikiswa na ugali dagaa.
Haya rafiki.Niliona picha yako kumbe ni pisi kali,halafu humble mwenye roho yake nzuri🙈🙈🙈Rafiki ugali dagaa ni kati ya vyakula napenda sana
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Uliiona wapi rafiki? Hakuna pisi kali yenye kitambi rafiki, itakua uliyoiona sio picha yanguHaya rafiki.Niliona picha yako kumbe ni pisi kali![]()
Niliona kule selfika rafiki.Halafu humble mwenye roho yake nzuri🙈🙈🙈Uliiona wapi rafiki? Hakuna pisi kali yenye kitambi rafiki, itakua uliyoiona sio picha yangu
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Mbona unanisifia sana rafiki unataka kuniomba nini?Niliona kule selfika rafiki.Halafu humble mwenye roho yake nzuri
Kitambi ni kuzidiwa tu mbinu kwa muda ila haiondoi upisi kali.



.


Rafiki mimi nitavumilia yanipite kwa sababu siwezi kuwa na kila kizuri kwenye dunia hii.Nitakaza moyo niyashinde majaribu🙈🙈🙈Mbona unanisifia sana rafiki unataka kuniomba nini?.
Asante rafiki
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Uamuzi mzuri rafikiRafiki mimi nitavumilia yanipite kwa sababu siwezi kuwa na kila kizuri kwenye dunia hii.Nitakaza moyo niyashinde majaribu![]()
Ila rafiki kila nikifumba macho yangu naona kale ka humble usoni mwako.Daah!!🙈🙈🙈
Hahahaaa. Rafiki usidanganyike na uso wa picha. Wanasemaga naonekana na innocent face kwenye pichaIla rafiki kila nikifumba macho yangu naona kale ka humble usoni mwako.Daah!!![]()



