Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,379
- 88,735
Kabisa.Hata mimi nililiona hilo fasta sana na ndilo lililoniteka.Humbleness inaonekana kwa ujazo wake.Wanasemaga naonekana na innocent face kwenye picha
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hata kunialika dada wa mimi!



Usingeweza kufika mapema nilipo ni mbali sanAHata kunialika dada wa mimi!![]()


Hakuna mbali ndani ya Dar!