Mkuu viongozi wote ni wazalendo na wachapa kazi that's y miradi inasonga Kwa speedUzalendo unaanzia kwenye mamlaka za juu, kama hata viongozi hawana uzalendo na upendo kwa taifa lao unategemea nini?? Chuki katika mioyo ya wananchi kwa serikali hii dhalimu na iliyojaa damu ni kubwa sana, na hii tabia ya kila kizuri anapewa sifa Rais na kibaya ni chetu wote wananchi imepelekea hata watu kushabikia timu pinzani na zetu kwa sababu wanajua zikishinda sifa zote zinaenda kwa huyo Rais na machawa wake
Kwahiyo hii ndo iwe sababu basi?Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu
Serikali ishavunja na kurarua rarua mioyo yetu.Jitahidi usiivunje moyo serikali
Siwezi penda taifa hili chini ya samuya,adui akitokea ni shangweAcha hizo mkuu ....penda taifa lako
Laana hautowaacha mbogamboga hilo liwekwe kichwaniMkuu mpira inahitaji support kubwa ya serikali....je unakubali Hilo?????
Kama ndio basi hyo serikali ipo chini ya Irani ya CCM........japo hata chadema wangeamua kuchangia wale vijana..... serikali inge acknowledge
Wajinga na machawa mnapongezanaVijana kwenye mafanikio wanaziba macho😂😂
Yaani game yoyote inayochezwa alafu kelele na uchawa unakuwa sa100 what sijui sa100 which mimi naenda against na kuiombea mabayaAcha hizo mkuu ....penda taifa lako
Tutaanza kuifurahia huko watakapotufurahisha.Ni changamoto tu za muda mkuu..... yajayo yanafurahisha
Uzalendo Sandie kwa kuweka sera kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni kwenye clubs zetuKama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
View attachment 3600313