fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,619
- 9,163
Sio kwenye mpira wa miguu ambao unataka mbinu,mazoezi na ufundi,mambo ya uzalendo huchangia chini ya asilimia 10 kwenye ushindi.Timu yetu ya vijana ilipambana sana,tulizidiwa mbinu,ufundi na maarifaUzalendo unajenga moyo wa pamoja kufanikisha jambo zito