Uzalendo unahitajika kwenye timu za taifa

Acha Watu Wafurahie Maisha Hapa Duniani
Jitahidi Kukubaliana Hata Kwa Yale Usiyoyapenda Cha Msingi Hayana Athari Yoyote
Ni sahihi mkuu lakini inafuatana na mambo hayo
Lakini kwenye jambo la kitaifa lazima tuungane positively
 
Mkuu mpira inahitaji support kubwa ya serikali....je unakubali Hilo?????

Kama ndio basi hyo serikali ipo chini ya Irani ya CCM........japo hata chadema wangeamua kuchangia wale vijana..... serikali inge acknowledge
Wapi buko.serikali inajihusisha na mpira? Mpira una chanel zake bwana
 
Mkuu mpira inahitaji support kubwa ya serikali....je unakubali Hilo?????

Kama ndio basi hyo serikali ipo chini ya Irani ya CCM........japo hata chadema wangeamua kuchangia wale vijana..... serikali inge acknowledge
Uliwahi kusikia Brazil, Argentina, Spain wakitaja vyama vya siasa kwenye mpira au kwamba mafanikio yao yanatokana ns Rais wao?

Inzi angeacha ujinga angetowa asali, mtakapoacha huu upumbavu wenu ndio mtaona mafanikio ya timu zetu.
 
Wengi mliifuata hii Team baada ya kuona kaingia fainali..tuliokuwa tunawaangalia tulijua tu madudu yataanza.

Si kila jembo linataka kelele then na mkajipa jina la Team ya fulani..bila fulani..bila nani..Wahuni wahuni plus mijisifa.. kwa maelezi hii si team ya taifa ni team ya kikundi fulani ikifanikiwa.
Waendelee kugongwa huko mbeleni.
 
Hapana kulikuwa na underground support kubwa ya serikali...sema tu mlikuwa hamjui
Wengi mliifuata hii Team baada ya kuona kaingia fainali..tuliokuwa tunawaangalia tulijua tu madudu yataanza.

Si kila jembo linataka kelele then na mkajipa jina la Team ya fulani..bila fulani..bila nani..Wahuni wahuni plus mijisifa.. kwa maelezi hii si team ya taifa ni team ya kikundi fulani ikifanikiwa.
Waendelee kugongwa huko mbeleni.
Mkuu
 
Uliwahi kusikia Brazil, Argentina, Spain wakitaja vyama vya siasa kwenye mpira au kwamba mafanikio yao yanatokana ns Rais wao?

Inzi angeacha ujinga angetowa asali, mtakapoacha huu upumbavu wenu ndio mtaona mafanikio ya timu zetu.
Tofauti ni kuwa kwenye hizo nchi vyama vya soka na timu Zina uchumi mkubwa tofauti na Tz
 
Back
Top Bottom