Uzalendo unahitajika kwenye timu za taifa

Uzalendo unahitajika kwenye timu za taifa

Vijana wawe wavumilivu....Hali hii tunaipitia hata ulaya waliipiitia kipindi Cha miaka ya 1645s 1400s .....enzi za kina King Charles 1.......king Louis xiv etc
Ina maana tunahitaji karne 6 na nusu kufika walipo ulaya sasa
Mamaaaa weeeeeee vizazi takribani 10 baada ya watu waliozaliwa 2015 kurudi nyuma wote kufa tayari
 
Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili

Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬

View attachment 3600313
 

Attachments

  • downloadfile-19.jpg
    downloadfile-19.jpg
    93.3 KB · Views: 14
Ina maana tunahitaji karne 6 na nusu kufika walipo ulaya sasa
Mamaaaa weeeeeee vizazi takribani 10 baada ya watu waliozaliwa 2015 kurudi nyuma wote kufa tayari
Na ulaya sijui watakua wamefikia wapi😂
 
We .....sana na liccm lako... Huyo joyce wowo na Manara wake wasifikiri mpira suala mdomo. Unachukua watu kwenda kuimba samia sijui makonda uwanjani?. Takataka ww
 
Ni siasa za chadema za majitaka, za kishamba. Wameshindwa siasa safi sasa ni watu wa matusi, kufurahia nchi kupata matatizo, sasa tuwaulize kwa njia hiyo ndiyo watashika dola? Watanzania gani wawachague? Hao mapumbavu yenye stress za maisha!
Hiyo ccm yenye toka iwe na dora ina kipi cha maana ilichokifanya?... bata mzinga .
 
Back
Top Bottom