Tatizo ni CCM na siasa za kishenzi.Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
Wachache watakuelewa mkuu.Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
Mkuu mpira inahitaji support kubwa ya serikali....je unakubali Hilo?????Tatizo ni CCM na siasa za kishenzi.
sasa hivi wameshaua simba na yanga kwa sababu za kijinga jinga. walijaribu kupita na upepp arsenal lakini wapi Serengeti boys nayo chali.
waache mpira ujiongelee wenyewe Samia na ana laaana jambo lolote analoshadadia lazima libume
Huwezi kulazimisha watu kupenda jambo fulani ambalo halina mashiko.Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
Hilo Halisemwi PopoteMambo ya umama ndiyo yanatuharibia timu
Leo Hutakula Chochote Ama UmeumiajeWachache watakuelewa mkuu.
Nimeumia kwa kukosa ushindi na maneno
Daah.
Fedha ni za wananchi timu iachiwe iwe ya wananchi, serikali isiruhusu siasa ktk timu za taifa.Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu
KabisaaVijana somo la uzalendo linatupotea
😅😁😂😆💞💘❤️♥️💖💝❣️💕👋👌🤪Nimefurahi kinoma hiyo timu kufungwa
Umeongeza sh ngapi baada ya timu kufungwa?Nimefurahi kinoma hiyo timu kufungwa
Kisera ( raisi ndio mdau no Moja wa michezo mkuu.......bila yeye hakuna maendeleo ya michezoMambo ya umama ndiyo yanatuharibia timu
Ni siasa za chadema za majitaka, za kishamba. Wameshindwa siasa safi sasa ni watu wa matusi, kufurahia nchi kupata matatizo, sasa tuwaulize kwa njia hiyo ndiyo watashika dola? Watanzania gani wawachague? Hao mapumbavu yenye stress za maisha!Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬