timu za taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Makonda kuunda kamati ya kuchunguza zabuni jezi za timu za Taifa.

    Wizara ya habari, Utamaduni Sanaa na Michezo leo Septemba 18 imefafanua kuwa Waziri wake Paul Makonda anatarajiwa kuunda Kamati ya kuchunguza mkataba wa mzabuni wa jezi za Taifa Stars ili kubaini manufaa ya makataba huo kwa Timu za Taifa. Taarifa ya Wizara hiyo imeeleza kuwa Waziri huyo...
  2. Labani og

    JamiiForums Tanzania Uzalendo unahitajika kwenye timu za taifa

    Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Makonda amteua Manara kuwa Msemaji wa Timu za Taifa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amemteua Haji Manara kuwa Msemaji wa Timu za Taifa za Tanzania, akifanya kazi chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT). Waziri Makonda ametangaza uteuzi huo leo Mei 28, 2026, akiwa viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Back
Top Bottom