Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,973
- 54,101
Hata wazazi wanatumia gharama kubwa kusomesha watoto wao ila ajira hazipo atarudishwa ambaye ashapita kwenye kitengo fulani akastaafu
Vijana kwenye mafanikio wanaziba macho😂😂Eti jambo lolote lazima libume!
1. Ni enzi za mh. Samia yanga kafika fainali ya shirikisho caf tangu ulimwengu wa yanga kuumbwa
2. Ni enzi za mh. Samia simba kafika fainali ya shirikisho caf
3. Tangu ulimwengu kuumbwa, ni enzi hizi za mh. Samia taifa stars imefika 16 bora afcon
4. Ni enzi ya mh. Samia ligi ya tanzania imekuwa kwenye sita bora africa.
5. Tangu ulimwengu kuumbwa, ni enzi ya samia taifa u17 wamecheza fainali afcon.
6. Tangu ulimwengu uwepo, ni enzi ya samia afcon kufanyikia tanzania.
Bado wale serengeti girls walioenda kombe la dunia india, bado CHAN.
HAYA WEWE TUONYESHE AMBAYO HAYAKUBUMA ENZI ZA BARAKA TOFAUTI NA SASA!
Kama nawaona mlivyokuwa mmejipanga kutupigia kelele " mama anaupiga mwingi!"Je Sasa huoni haja ya kuwapongeza na kuipongeza serikali Kwa hatua ilipofika
Kweny kusafirisha kna watu umewasahauSasa huoni serikali inajenga viwanja vya mpira ...na kusafirisha wachezaji + mashabiki
mnaeenda kuimba Samia shikamoh uwanjani alafu mnataka uzalendo? uzalendo wa nini kwa uchawa?Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
mnaeenda kuimba Samia shikamoh uwanjani alafu mnataka uzalendo? uzalendo wa nini kwa uchawa?Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
Acha kujudanganya! Oktoba 29,2025 ulikunywa maziwa yapi?Mgando au samli kabisa?Siyo kweli mkuu.... ingekua hivyo Tz isingekuwa nchi ya asali na maziwa
Labda Uzalendo wa kuendesha v8Vijana somo la uzalendo linatupotea
hamasa ilivuka mpaka kila kiongozi alitaka kuongea lake madogo wakajikuta wameongezewa kazi nyingineAmsha amsha ziliwapa moyo wa upambanaji
Wanatamani wangezaliwa mbwa Africa?Hapana mkuu hata ulaya wanatamani sana kuishi Africa
TANZANIA KUNA UTAIFAA??Ni sahihi mkuu lakini inafuatana na mambo hayo
Lakini kwenye jambo la kitaifa lazima tuungane positively
Nchi kwanza serikali baadae, kama viongozi wa serikali wanahatarisha maslqhi ya nchi mnawaondoa huo ndio uzalendo.Hakuna nchi bila serikali ( rulling machine