Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,677
- 218,188
Inategemea na hujuma unayopangiwa kufanyiwa , wakina Mbowe walipewa masaa mengi ila Akaunti zao za benki zilifungwa kwa maelekezo ya serikali , yericko alipewa masaa matatu tu , lakini wadau wamechanga zaidi ya mil 6 ndani ya dk 60 tu !Hivi baada ya hukumu kutoka,unapewa mda gani kuweza kupata huyo hela?
Baah inategemea ntu na ntu.Hivi baada ya hukumu kutoka,unapewa mda gani kuweza kupata huyo hela?
Aiseee!!!!!Inategemea na hujuma unayopangiwa kufanyiwa , wakina Mbowe walipewa masaa mengi ila Akaunti zao za benki zilifungwa kwa maelekezo ya serikali , yericko alipewa masaa matatu tu , lakini wadau wamechanga zaidi ya mil 6 ndani ya dk 60 tu !
CCM inawaona CHADEMA ni maadui wasiostahili heshima, kuthaminiwa wala kuishi.Msijali Bavicha kutoa ni moyo siyo utajiri.
Siasa siyo uadui!
Sugu nae alichangia?
Mungu ibariki BAVICHA
Kapesa kadogo tu hako jamani hadi msumbue watu kuchanga? Mbowe na lema wangemaliza fastaViva Chadema...kuna mapanya buku yalishajuaga Upinzani umekufa watakufa mama zao kwanza na mabosi zao wote shenzi type
Aku.Kapesa kadogo tu hako jamani hadi msumbue watu kuchanga? Mbowe na lema wangemaliza fasta
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mweh..umaskini tu. Naondoka jamani msinichambe. Kwaheri dadaAku.
Chadema tuna asili ya umoja....wala haijatutikisa
Umesahau ile hotuba ya mwenyekiti kule Tunduma?Siasa siyo uadui!
Kwa heshima na taadhima naomba tukumbushe hiyo hotubaUmesahau ile hotuba ya mwenyekiti kule Tunduma?
Barikiwa, maana tangu Jana numeona msimamo wako.Msijali Bavicha kutoa ni moyo siyo utajiri.
Siasa siyo uadui!