Uungwana: BAVICHA yatoa Shukrani kwa wote waliochangia pesa za kulipa faini ya Yericko Nyerere Mahakama ya Kisutu

Inategemea na hujuma unayopangiwa kufanyiwa , wakina Mbowe walipewa masaa mengi ila Akaunti zao za benki zilifungwa kwa maelekezo ya serikali , yericko alipewa masaa matatu tu , lakini wadau wamechanga zaidi ya mil 6 ndani ya dk 60 tu !
Walitaka aingie ndani
 
Kutokana na mataga kuonea cdm nashauri chama kianzishe mfuko maalumu wa kuchangia uwe endelevu. Watu watupie humo vijisenti kidogo kidogo ili ikifika kamanda yeyote kahukumiwa iwe ni kuchota tu.

Jengeni ofisi ya kueleweka hili hata sisi wengine tuwaamini, Chama kinataka kupewa nchi kinashindwa hata kuwa na jengo la kueleweka, hizo milion 300 mia 3, kila siku kulipia fain mahakamani mnashindwa kutumia akili mkajenga ofisi nzuri na kubwa tuu.Mnaonekana wababaishaji kwa Watanzania wengi.
 
Back
Top Bottom