Uungwana: BAVICHA yatoa Shukrani kwa wote waliochangia pesa za kulipa faini ya Yericko Nyerere Mahakama ya Kisutu

Jengeni ofisi ya kueleweka hili hata sisi wengine tuwaamini, Chama kinataka kupewa nchi kinashindwa hata kuwa na jengo la kueleweka, hizo milion 300 mia 3, kila siku kulipia fain mahakamani mnashindwa kutumia akili mkajenga ofisi nzuri na kubwa tuu.Mnaonekana wababaishaji kwa Watanzania wengi.
Cdm haihitaji kuaminiwa na mbululaz kama wewe
 
Haya ndio mwisho wa akili zenu sio ? Matusi , kutukana mpaka Marehemu , sidhani kama kuna mtapewa Nchi nyinyi kwa akili zenu zilipofikia 🥸
Wewe ni marehemu kwani? Kukuita mbulula sijakosea, maana kama huwezi kuamini ofis iliyopangishwa hujui chochote kuhusu ofisi na majengo. Mtu kama wewe tukija kukuambia kuhusu mambo makubwa ya inchi huwezi kuelewa.
 
Back
Top Bottom