Ni kweli kabisa hata ule uwanja wa ndege kule kijijini kwao aliujenga kijanja [emojieUl
anayeongoza nchi hii anaishi Msoga. Pale Magogoni kuna ushungi tu.
Unasema kweli ??? Una maana wote waliomzunguka Mama hawajui kitu ? Unatakiwa kujua kwamba Urais ni Taasisi, Amezungukwa na wasomi na wataalamu wa kila fani, hana sababu wala shida ya kumfuata MTU mwingine aliyeko nje ya system. Lakini pia anaweza akaufanyia kazi ushauri wako au wangu kama ataona una manufaa kwa Taifa.
 
We unadhani kila mtu ana njaa kama wewe sio? Najua njaa ndo zinakufanya usijikie vibaya kuona meme wako makamba anasema vibaya.Ukimkubali wewe mkewe inatosha, sio lazima wote tumkubali.

Tafuta maisha uachanane na uchawa kijana, nakuona tu unashinda humu kuanzia asubuhi mpaka jioni unasubiria kila nyuzi uruke nayo.
uko nyuma ya keyboard unajipiga kifuani kuwa una maisha mazuri. Mkuu nakuhakikishie tu kuwa wewe ni njaa kali. Wenye uhakika wa maisha hatuna chuki za kipuuzi. Narudia tena we nenda mlaumu babako kwa kutokukuwekea mazingira mazuri ya maisha huku ukubwani.
 
uko nyuma ya keyboard unajipiga kifuani kuwa una maisha mazuri. Mkuu nakuhakikishie tu kuwa wewe ni njaa kali. Wenye uhakika wa maisha hatuna chuki za kipuuzi. Narudia tena we nenda mlaumu babako kwa kutokukuwekea mazingira mazuri ya maisha huku ukubwani.
Unaonekana unanijua sana mkuu, maana una uhakika kabisa mimi ni njaa kali😅.

Anyways hapa jF tunatumia fake IDs, sitakiwi kushangaa, huenda wewe ni mke wangu umeshaijua I'd yangu kimyakimya.
 
Wakongwe wa JF wanajua tunapoelekea sasa. Bwawa la Nyerere lilipigwa vita sana, hizi mambo zote zitafumuliwa kidogo kidogo. Tuendelee na mtori wetu nyama ziko chini
Mnataka kurudi Chadema lakini mnaona aibu. Rudini tu mkuu milango iko wazi.
 
Kilichomtoa Ndugulile ni nini sasa?
Principles na kujiamini. Hata Magu alimpiga chini walivyotofautiana kwenye issue ya Covid19 japo akaja kurudishwa probably baada ya kuwekwa sawa behind the scene.
 
Nafikiri ni influence za wazazi tu. Mkuu kuingia kwenye system ya serikali hasa ya CCM ni kazi sana kama hauna back up, labda kama atokee mtu ambae hayuko sawa na watu wanaoaminika kuwa ndo wenye CCM apate madaraka makubwa ndo akuingize kama walivyopata bahati akina Polepole, Bashiru, Kalemani, Protas, na MAJALIWA.

Kizembekizembe ni ngumu sana kupata nyazifa za juu, ndomaana Sasa hivi uatashuhudia uenguliwaji wa watu wote ambao hawana link na lile kundi linaloaminika kama (wenye CCM) kwasababu aliyewaweka hayupo tena.

Mgombea Urais ajae atashangaza sana, si ajabu akawa ni Madelu😅. Always wanazungukana tu humohumo.
Nimekupata mkuu
 
Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo
  1. Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa
  2. Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile ambae uteuzi wake umetenguliwa
  3. January Makamba anachukua nafasi ya Merdard Kalemani wizara ya Nishati
  4. Makame Mbarawa anachukua nafasi ya Chamuriho wizara ya ujenzi na uchukuzi
  5. Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Kilangi kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali


Wanaume watatu watenguliwa
 
I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Waliopo wote hamna kitu pale, hamna wa kumsaidia na yeye anajua. Wote wale ni wezi tu
 
Back
Top Bottom