Kwa Makamba wala siyo habari, wengine tulimuona kwenye cabinet siku ile Bimkubwa anaapishwa na tukasema humu.

Hongera sana kwa Mbarawa!
 
Wakongwe wa JF wanajua tunapoelekea sasa. Bwawa la Nyerere lilipigwa vita sana, hizi mambo zote zitafumuliwa kidogo kidogo. Tuendelee na mtori wetu nyama ziko chini
Hii nchi bado ina safari ndefu sana ya kufikia maendeleo ya kweli.
 
Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.

Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Totally wrong! Issue ilomng'oa Kalemani ni bei za mafuta! Wizara yake kumekuwepo na mabadiliko ya bei yanayoleta taharuki katika jamii, hebu fikiria wakati serikali ikihaha kutafta ufumbuzi wa malalamiko ya tozo za miamala, ghafla tukasikia bei ya gesi imepaa, serikali ikaituliza! Tena kabla vumbi hilo halijatulia tukasikia bei ya ptroli nayo imeruka, serikali ikatuliza tena!
Mpaka leo serikali bado inakuna kichwa hii fluctuation ya bei ya mafuta chanzo chake ni nini au nani na nani??? ....Ndo hapo wakapata jibu, mtu wa kwanza ni Kalemani, Mama ameshugulika kwanza na Kalemani alafu tuanzie hapo!
 
Safari hii tumewashika pabaya wanaweweseka sana kuhusu dai la katiba mpya mara oh wa kudemka anajenga uchumi, mara oh katiba mpya si kipaumbele wananchi hawaitaki. Mara oh! Katiba mpya ni dai la Wanasiasa ili washinde uchaguzi. Hawajitambui hata chembe they are all over the place.
Kila siku wana kazi ya kubadili sheria na kutunga visheria vipya huko bungeni, wanajifanya hawaelewi kuwa katiba ni kuu kuu inapaswa kubadilika!
 
Totally wrong! Issue ilomng'oa Kalemani ni bei za mafuta! Wizara yake kumekuwepo na mabadiliko ya bei yanayoleta taharuki katika jamii, hebu fikiria wakati serikali ikihaha kutafta ufumbuzi wa malalamiko ya tozo za miamala, ghafla tukasikia bei ya gesi imepaa, serikali ikaituliza! Tena kabla vumbi hilo halijatulia tukasikia bei ya ptroli nayo imeruka, serikali ikatuliza tena!
Mpaka leo serikali bado inakuna kichwa hii fluctuation ya bei ya mafuta chanzo chake ni nini au nani na nani??? ....Ndo hapo wakapata jibu, mtu wa kwanza ni Kalemani, Mama ameshugulika kwanza na Kalemani alafu tuanzie hapo!

Wao wenyewe wameongeza kodi kwenye mafuta ktk budget iliyoanza July halafu wao wenyewe tena washangae tena kupanda kwa bei ya mafuta? Hiyo itakuwa obvious insanity bila mjadala. Upo uwezekano mkubwa ni ile 27 ndiyo iliyomuondoa Kalemani. Lengo la hii awamu ni kuwakamua wananchi as much they can then unakujaje na wazo la 27 tutapata wapi pesa za matanuzi ya kusafiri na kurun ikulu 3??
 
Ila kwenye bajeti mpya si ndioiomgeza sh.100 kwa kila lita ya petrol. Tena bibi hangaya akaenda mbali na kusema eti "pesa ndogo tu tumeongeza, ka sh.mia tu"
Leo useme waziri ndio aliongeza, acha hizo
 
Wao wenyewe wameongeza kodi kwenye mafuta ktk budget iliyoanza July halafu wao wenyewe tena washangae tena kupanda kwa bei ya mafuta? Hiyo itakuwa obvious insanity bila mjadala. Upo uwezekano mkubwa ni ile 27 ndiyo iliyomuondoa Kalemani. Lengo la hii awamu ni kuwakamua wananchi as much they can then unakujaje na wazo la 27 tutapata wapi pesa za matanuzi ya kusafiri na kurun ikulu 3??
Mkuu ile kodi ya mafuta, bei yake tayari ilisha soma! Kuna bei nyingine mpya ilitaka kuanza hapa majuzi tu, serikali ikaizima! Hapo hapo na gesi pia ilikuwa imepanda, lakini serikali ikazuia! Na aliyezuia sio Kalemani ni Kamishna wa Ewura! Kuhusu bei ya kuunganishiwa umeme wa REA, hili punguzo la bei kuwa 27,000 haliumizi serikali hata kidogo hata wangeweka bure sababu gharama zote za mradi ni wafadhili wanatoa!
Pia kuweka gharama kubwa za kuunganisha umeme ni kuzuia wateja, Kumbuka mteja akishakuwa ameunganishiwa umeme tayari anakuwa mteja wa kudumu na hapo hapo atalipa hadi kodi ya majengo, hivyo sioni kama kuna tatizo katika bei hii!
 
January ni mtu sahihi sana
Mnyenyekevu msikivu Elimu ustaarabu Mkimya
Anafaa hata huko mbeleni
Yule Mzee mstaafu aliyemkana kwa kujipendekeza kwa Mwendazake, kipindi January amevurugwa sijuwi atajisikiaje na uteuzi huu wa JM!
 
Mkuu ile kodi ya mafuta, bei yake tayari ilisha soma! Kuna bei nyingine mpya ilitaka kuanza hapa majuzi tu, serikali ikaizima! Hapo hapo na gesi pia ilikuwa imepanda, lakini serikali ikazuia! Na aliyezuia sio Kalemani ni Kamishna wa Ewura! Kuhusu bei ya kuunganishiwa umeme wa REA, hili punguzo la bei kuwa 27,000 haliumizi serikali hata kidogo hata wangeweka bure sababu gharama zote za mradi ni wafadhili wanatoa!
Pia kuweka gharama kubwa za kuunganisha umeme ni kuzuia wateja, Kumbuka mteja akishakuwa ameunganishiwa umeme tayari anakuwa mteja wa kudumu na hapo hapo atalipa hadi kodi ya majengo, hivyo sioni kama kuna tatizo katika bei hii!

Ewura ndiyo wanaotoa bei za mafuta walitoa bei mpya wakaziondoa tena wenyewe. Bei mpya ilichangiwa na uagizaji wa mafuta wa waagizaji wa ndani ambao kutokana na udogo wao wanapata freight charges za juu sana lakini maamuzi ya kuwabeba waagizaji wa ndani hayakuwa ya waziri peke yake.

Anyway ngoja tuone but mm kama mwanachi wa kawaida kbs mlima nyanya wa hapo bonde la msimbazi ninaona kbs obvious non performance ya executive.
 
Tuendelee na tozo tu hakuna namna mpaka hapo kila familia itakapoona na kuamka usingizini.
 
Back
Top Bottom