kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 11,730
- 13,198
KUNA KIFUNGU HUA KINATENGULIWADuh!! Mungu anamuona lakini!
Amejitetea kiume sana
Makamu wa Rais Dr Mpango na DC mstaafu Dr Kihongosi watakuwa mashahidi wake muhimu kama katiba inaruhusu.
Rais mstaafu Mkapa aliwahi kupanda kizimbani kumtetea Prof Mahalu pale Kisutu!
mpango lazima afike mahakamani