Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

...ni kweli huyo dada ni Mchaga, anaishi Nzega (Kitongo) na ni mke wa mtu....wakati anamuua huyo MC, alikuwa kenda kwao Moshi kusalimia wazazi....anafahamika sana kwa kila mtu!!!
Mh! Mbona nasikia wachaga ni mabingwa wa kusoma magazeti wakiwa katika 6x6!
 
chemba ana video ya mauaji ya huyu kijana viongozi wa chadema wakipanga mauaji yake.
 
Alikamua zaidi ya uwezo wake wa kawaida
Lakini kwa kuwa alikuwa CCM aa! aende zake alikuwa upande wa upotoshaji umma
 
Ninajawa na maswali mengi kwa jinsi watu mbali mbali wanavyoelezea hususani wale wahudumu wa hotel, katika maelezo ya awali tunaambiwa kuwa alipewa chumba namba 208 na katika maelezo ya sasa wanatwambia alikuwa chumba namba 214.

Huyu kijana inavyoonyesha alikesha na binti kwa jina akiitwa Nancy, kisha saa tano mchana umri uakamruhusu amuite binti mwingine aitwae Mariam aliyeingia saa 5 asubuhi na saa 6 akatoka na kutokomea anakokujua. Huyu dada wa pili aliandaliwa kondomu mbili na alifanikiwa kutumia moja. Yaliyojiri kufikia mauti anayeyajua ni huyu binti wa pili.

Ninahisi huyu kijana alikuwa na mshituko wa moyo (Heart attack) na binti alipoona jamaa anahema akatoka kimya kimya. Kama angekuwa mhalifu wa ziada angeweza kuondoka na fedha, bastola, madini na vinginevyo. Amekuwa ni muoga kuona yule aliyempenda anamtoka ghafla, hata hivyo tusubiri wataalamu watupe majibu. Na kama alikuwa akitumia Sani Abachafin hapo ni balaa zaidi.


 
Hutu Tubinti twa Kisasa ni kasheshe kwelikweli. Hasa hawa wa Kanda ya Kaskazini ni Matata mno.

Nakumbuka yule MC alifia Guest Moshi kama miaka 3 iliyopita alikuwa wa huko.

Amekuja Lulu na yeye wa hukohuko Kaskazini. Yeye alitoa tu taarifa kwa mdogo mtu "Kamuone Kaka yako, Kaanguka HAJIWEZI."

Sasa huyu na yeye kafia Hotelini, mhhhh..... Sintashangaa kuwa ni Binti wa Kaskazini pia.

Ngoja nibaki na Wanyamwezi wangu huku, Wa Kaskazini na hasa Tanga, MNIKOME kabisa Mnyamwezi mie.
Wanyamwezi na nyie ni tatizo kwana afadhali wa huku kaskazini,maana mabinti wa kinyamwezi ni hatari sana,akigongwa inakuwa tatizo.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti.
Hayo ni malipo ya uasherati wake.
 
RIP na tuiombee familia yake.Ila nifundisho kwetu sote kwani siku kama ya jmapili angetakiwa awe alikuwa kanisani akimshukuru Mungu.Huwa najiuliza tukiweza kuishi maisha safi ya kumpendeza Mungu aijalishi dini yako tungeepuka vifo vingi visivyo vya lazima.
 
Kamanda kumbe ndo kaenda hivyo, jaman sisi tuliobaki tumkumbuke muumba wetu siku ya ujana wetu kabla ya kuja kwa siku mbaya na za kutisha.
 
Dada Bubu msemaovyo. Naomba maelezo ya kina hii inayoitwa Sani abachafin ndio nini? Ikoje na tunaweza kuikwepa ? Maana mwenzio akinyolewa wewe Tia maji

Ninajawa na maswali mengi kwa jinsi watu mbali mbali wanavyoelezea hususani wale wahudumu wa hotel, katika maelezo ya awali tunaambiwa kuwa alipewa chumba namba 208 na katika maelezo ya sasa wanatwambia alikuwa chumba namba 214.

Huyu kijana inavyoonyesha alikesha na binti kwa jina akiitwa Nancy, kisha saa tano mchana umri uakamruhusu amuite binti mwingine aitwae Mariam aliyeingia saa 5 asubuhi na saa 6 akatoka na kutokomea anakokujua. Huyu dada wa pili aliandaliwa kondomu mbili na alifanikiwa kutumia moja. Yaliyojiri kufikia mauti anayeyajua ni huyu binti wa pili.

Ninahisi huyu kijana alikuwa na mshituko wa moyo (Heart attack) na binti alipoona jamaa anahema akatoka kimya kimya. Kama angekuwa mhalifu wa ziada angeweza kuondoka na fedha, bastola, madini na vinginevyo. Amekuwa ni muoga kuona yule aliyempenda anamtoka ghafla, hata hivyo tusubiri wataalamu watupe majibu. Na kama alikuwa akitumia Sani Abachafin hapo ni balaa zaidi.


 
Kigogo?? u ar overrating him! May his soul rest in peace though!
 
Ni hataari sana kutojal afya yako we unaenda kubeba mijimama ilokataa tamaa n maisha arusha na inatafta hela unafnya mchezo anyway kumradhi ;marehemu ila nikuppongeze wewe KIDUME YAANI UNAPANGUA MIZIGO MIWILI KWA CONDOM MIJA NA YOTE YAMEONDOKA YANASEMA AHSANTEE SI MCHEZO ;
 
Siyo dakika 15, taarifa za uhakika ni kuwa aliingia mnamo saa 5 adhuhuri na akatoka saa 6 mchana, muda unakadiriwa kuwa ni dk 45 hadi saa 1 hivi. Anyway, kunaweza kusemwa mengi, na bahati mbaya sana kwa wale wasichana lakini kilicho dhahiri ni kuwa hawa wasichana ambao walikuwa ni wapenzi wa marehemu waliitwa kwa wakati tofauti tofauti, kila mmoja atakuwa alikuwa hajui kama marhemu alikuwa na mwingine au angemleta mwingine baada ya kulala naye.

Hawa wasichana, sidhani kama wana hatia yeyote, ni vizuri ndugu wa marehemu kuongea na polisi na madaktari ili mkasa mzima ufungwe, ijulikane tu kuwa marehemu amefariki na wala hakuuwawa. Ni ukweli kuwa ni kifo cha aibu ambacho hakuna hata mmoja wetu angependelea itokee kwake au kwa ndugu yake yeyote. Tumwonee huruma marehemu na ndugu zake kwa kifo cha namna hii.

dakika 15,mtu azidiwe hadi kufa?.
Huyu kama sio tatizo la moyo itakua ni murder case.
 
Mkuu chama!

Kosa langu hapo ni lipi kaka?! Ushabiki unao uona nimeuonyesha kwenye kifo cha kiongozi wa UV-CCM ni upi? Kukupa pole kwa msiba mzito wewe na wana ccm wenzako?! Na kwa nini unitafsiri kuwa nimeweka ushabiki kwenye kifo ambacho ni faradhi ya kila mja?!

Umenishangaza sana mkuu. Anyway! Pole kama nimekukwaza kwa kukupa pole kwa kuondokewa na kiongozi wenu.

Kauli yako hii ina utata mwingi "Popote alipompangia" hii si kauli ya kiungwana hata kidogo Waislamu tunasema Mungu ampe makhfira inatosha; kauli za kihuni penye msiba hazipendezi hizo zina wenyewe kina Matola

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Dada Bubu msemaovyo. Naomba maelezo ya kina hii inayoitwa Sani abachafin ndio nini? Ikoje na tunaweza kuikwepa ? Maana mwenzio akinyolewa wewe Tia maji

Sani Abachafin ni vidonge vya kuchochea hamu wakati wa tendo la ngono (Viagra) alivyotumia Sani Abacha aliyekuwa Rais wa Nigeria aliyetoa amri ya kumuua Ken Sarowiwa. Kumbuka wewe!!!!!

Nigeria: General Sani Abacha victim of Viagra.Died June 8, 1998 officially of a heart attack, President Sani Abacha died of viagra the newspaper Newswatch, taken by the Sunday Times of London.
General Sani Abacha (54), President of Nigeria enjoyed the company of prostitutes. He was seized with convulsions while he was in bed with two women. One of them came out screaming.
The heart of the Nigerian dictator would not have endured the antics a bit too energetic to whom he had engaged after taking a "miracle pill".
Another hypothesis is that he was poisoned by his entourage with a pill of Viagra "doctored".
His widow Mariam Abacha "believes that her husband was killed by his best friends" told the magazine Newswatch.
After taking power in November 1993, he abolished all democratic institutions and replaced many civilian officials with military leaders.
On 10 November 1995, his government had condemned the public hanging of writer Ken Saro-Wiwa and eight other Ogoni leaders of the community in the Niger Delta. This act denounced internationally led to the diplomatic isolation of Nigeria.
As the country sank into poverty and corruption, Abacha had turned in five years more than 1.7 billion U.S. dollars.
General Abdulsalami Abubakar who succeeded him handed over power to President Olusegun Obasanjo, elected democratically in 1999.



 
Back
Top Bottom