mwaride
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 421
- 107
Hivi hiyo kitu bado ipo? Tangia imtangulize Abacha mbele za haki naiogopa kama ukoma!
ouch, my ribs hurts! Oh my God, uuh!
Hivi hiyo kitu bado ipo? Tangia imtangulize Abacha mbele za haki naiogopa kama ukoma!
kwa hiyo huenda marehemu alitoka kukamua kitu kilichomzindi uwezo!!!
Hutu Tubinti twa Kisasa ni kasheshe kwelikweli. Hasa hawa wa Kanda ya Kaskazini ni Matata mno.
Nakumbuka yule MC alifia Guest Moshi kama miaka 3 iliyopita alikuwa wa huko.
Amekuja Lulu na yeye wa hukohuko Kaskazini. Yeye alitoa tu taarifa kwa mdogo mtu "Kamuone Kaka yako, Kaanguka HAJIWEZI."
Sasa huyu na yeye kafia Hotelini, mhhhh..... Sintashangaa kuwa ni Binti wa Kaskazini pia.
Ngoja nibaki na Wanyamwezi wangu huku, Wa Kaskazini na hasa Tanga, MNIKOME kabisa Mnyamwezi mie.
Yule mc lema alipewa style ya kupiga magoti na akawa analalamika sana...mwanamama akadhani lema kanogewa na utamu kumbe ndo anakata roho....nakumbuka kwa ufasaha sana maelezo ya yule mama aliyempa vitu mc wangu lema
kwa hiyo huenda marehemu alitoka kukamua kitu kilichomzindi uwezo!!!
DUH UJANA MAJI YA MOTO, WALIINGIA CHUMBANI MWAKE MADEMU WAWILI HALAFU AKAKUTWA NA MIPIRA YA KIUME aka KONDOMU, MOJA IMETUMIKA NYINGINE LAH, APA UYU DOGO KADONDOKA JUU YA KIFUA CHA MWANAMKE, ALA ALA MSITUTUHUMU CHADEMA MAANA KILA UPUUZI WENU MACCM HUSEMA NI CHADEMA. MAGAMBA KOMENI KABISA
mabinti wa tanga walikufanya nini?Hutu Tubinti twa Kisasa ni kasheshe kwelikweli. Hasa hawa wa Kanda ya Kaskazini ni Matata mno.
Nakumbuka yule MC alifia Guest Moshi kama miaka 3 iliyopita alikuwa wa huko.
Amekuja Lulu na yeye wa hukohuko Kaskazini. Yeye alitoa tu taarifa kwa mdogo mtu "Kamuone Kaka yako, Kaanguka HAJIWEZI."
Sasa huyu na yeye kafia Hotelini, mhhhh..... Sintashangaa kuwa ni Binti wa Kaskazini pia.
Ngoja nibaki na Wanyamwezi wangu huku, Wa Kaskazini na hasa Tanga, MNIKOME kabisa Mnyamwezi mie.
labda alikuwa na pressure saa anapiga bao pressure ikapanda zaidi then aka ascend to the world of spirits
kwa hiyo huenda marehemu alitoka kukamua kitu kilichomzindi uwezo!!!