Acheni kupakazia watu mambo ya kijinga, yeye alidhani bwambwa linakomeshwa mpaka ulinywee Viagra? mtu kakutwa uchi na Condom zimeshatema mzigo wewe unaleta tamthilia za Inghondu unataka tukuelewe vipi?
Mjinga na mpumbavu ni mtu kama wewe unayetaka tusikilize porojo zako wakati reliable source zinaeleza alikutwa na Condom 2 akiwa uchi, akiwa na bastora (sema sasa alikutwa na manati) akiwa na madini ya Tanzanite.Mjinga na Mpumbavu ni watu kama wewe mnaoaminishwa kuwa alikutwa na Condom!
- Do not take Viagra if you are also using a nitrate drug for chest pain or heart problems. This includes nitroglycerin (Nitrostat, Nitrolingual, Nitro-Dur, Nitro-Bid, and others), isosorbide dinitrate (Dilatrate-SR, Isordil, Sorbitrate), and isosorbide mononitrate (Imdur, ISMO, Monoket). Nitrates are also found in some recreational drugs such as amyl nitrate or nitrite ("poppers"). Taking Viagra with a nitrate medicine can cause a sudden and serious decrease in blood pressure. During sexual activity, if you become dizzy or nauseated, or have pain, numbness, or tingling in your chest, arms, neck, or jaw, stop and call your doctor right away. You could be having a serious side effect of Viagra.
- Do not take Viagra more than once a day. Allow 24 hours to pass between doses. Do not take Viagra while also taking Revatio, unless your doctor tells you to. Contact your doctor or seek emergency medical attention if your erection is painful or lasts longer than 4 hours. A prolonged erection (priapism) can damage the penis.
- Viagra can decrease blood flow to the optic nerve of the eye, causing sudden vision loss. This has occurred in a small number of people taking Viagra, most of whom also had heart disease, diabetes, high blood pressure, high cholesterol, or certain pre-existing eye problems, and in those who smoke or are over 50 years old. It is not clear whether Viagra is the actual cause of vision loss.
- Stop using Viagra and get emergency medical help if you have sudden vision loss.
Baba Mzazi amekataa uchunguzi anasema Mwanaye amekufa kifo cha aibu, sijui kati ya wewe na Baba yake nani mwenye uchungu wa mwana.Mkuu unaweza kusema ni viagra, lakini mnasahau kuwa jamaa inawezekana alinyonya matiti yenye yaliyowekewa sumu kwa lengo la kummaliza.
Uchunguzi wa kina unatakiwa kujua ukweli
Baba Mzazi amekataa uchunguzi anasema Mwanaye amekufa kifo cha aibu, sijui kati ya wewe na Baba yake nani mwenye uchungu wa mwana.
Baba Mzazi amekataa uchunguzi anasema Mwanaye amekufa kifo cha aibu, sijui kati ya wewe na Baba yake nani mwenye uchungu wa mwana.
........
:A S angel::A S angel:Ukimeza ile kitu Viagra unaweza kukaa juu ya kifuwa cha Mwanamke bila kushuka na unaweza ukashuka na bado Dushelele likaendelea kusimama tu. wengi hufa kwa pressure, hupaswi kutumia hivi vitu bila ya kupimwa na Daktari na kushauriwa, ni maalum kwa wale ambao hawana nguvu Nature.
Baba Mzazi amekataa uchunguzi anasema Mwanaye amekufa kifo cha aibu, sijui kati ya wewe na Baba yake nani mwenye uchungu wa mwana.
Ni kwa nini Mungi asishauriwe na badala yake ashauriwe Baba Mzazi? Una mfahamu Baba wa Mollel wewe, kule Mwanza anakoishi anaishi kijiji kipi? declare you're interest kwanza kwenye kifo hiki before further comment.Baba mzazi naye ni wa kushauriwa, siyo kukurupuka na kutoa majibu marahisi kama unavyofikiri. Sote tunafahamu wazee wetu wa kijijini na mila na desturi zilivyo.
Kukutwa na Condom ni sawa, lakini kwanini tusijiulize nini kilitokea? kwanini ukatae kuwa mwanamke alitumika kumwondoa uhai marehemu? Acheni ushabiki wa kijinga, mnatakiwa kufanya uchunguzi wa kina kuliko kukurupuka kisa majibu ni condom imekutwa kwenye uume! Kama kifo kilipangwa hata condom inaweza kutumika kwa kupotosha ukweli
Great Thinker indeed!! kumeza Viagra ndio kujali afya? unajuwa Viagra ni nini lakini? kwahiyo Condom ndio zimeweza kumprotect na kuzuiya nguvu za viagra?Kifo cha aibu wapi .. bora kijana alikuwa anajali afya yake.
Great Thinker indeed!! kumeza Viagra ndio kujali afya? unajuwa Viagra ni nini lakini? kwahiyo Condom ndio zimeweza kumprotect na kuzuiya nguvu za viagra?
Haya mambo ni wanaume ndio tunayaelewa, na siyo Viagra tu kuna nyingine inaitwa Elector na kadha wa kadha ila zina kazi moja na sawa.Hivi ni kweli alitumia Viagra?
harafu wewe Matola utadhani ulikuwepo?
Hivi Magambani nako kuna makamanda!!pumzika kamanda
Mjinga na Mpumbavu ni watu kama wewe mnaoaminishwa kuwa alikutwa na Condom!
........
Inaelekea wewe huwa unakurupuka kuandika hapa JF bila kusoma taarifa nzima. Hivi katika taarifa ya mwandishi wa thread hii hujasoma kuwa mwili wa marehemu ulipelekwa hospital ya Mount Meru ukiwa katika shuka kisha baadaye walirudi polisi kuchukua mipira ya kiume iliyokuwa kwenye shuka lile. Mipira ya kiume ni CONDOM kama ulikuwa hujui.
Leo ukisoma magazeti familia ya marehemu hususani Baba yake mzazi amekataa mwili wa marehemu kufanyiwa uchunguzi kwasababu mazingira ya kifo chake yanatia aibu.
Yawezekana ulikuwa unamaana hiyo condom aliyokutwa nayo haikuwa kwenye king'amuzi chake hilo sawa lakini alikutwa na condom mbili moja ikiwa tayari imeshatumika.
.....
Mkuu unaogopa kutaja peponi kwa nini?