Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Mkuu unaogopa kutaja peponi kwa nini?

Swali la kujiuliza kwa mtu mwenye fikra pevu kondom ikitumika inatupwa kitandani au dustbin?

MAVYOMBO kutupa kondom kwenye dustbin kunategemea na mazingira. hebu fikiri kama unafumaniwa. unayo nafasi ya kutupa condomkwenye dustbin? kazi ya kwanza si unatafuta namna na mwelekeo wa kusepa! jamaa huenda kifo kilimfumania akiwa anakula mzigo. sasa wewe ulitaka atupaje condom kwenye dustbin. kumbuka hata mlango ulikuwa wazi. hata aliekuwa analiwa hakuwa na muda wa kufunga mlango. jambo moja tu lilikuwa kichwani kwake. nalo ni kusepa haraka iwezekanavyo. au kwa kuwa kondom ilikuwa imetumika inaweza kuwa demu alimuua jamaa wakati jamaa akiwa anazini. kama hivi ndivo unataka jamaa au demu aitupaje condom kwenye dustbin. inawezekana pia wakati wa dhoruba ya kifo jamaa akaivua kondom ili labda aitupe. lakini mauti yakammaliza kabla hajafika popote. wewe ulitaka aitupaje kondom kwenye dustbin

HEBU SOMA SEHEMU HII YA TAARIFA

UCHUNGUZI wa awali wa kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), kupitia Mkoa wa Arusha, Benson Mollel (26) umeonyesha kuwa chumbani alimofariki kulikutwa mipira miwili ya kiume, mmoja ukiwa umetumika.

Marehemu Mollel alikutwa amekufa juzi ndani ya Hoteli ya Lush Garden Business, Mtaa wa Jacaranda, Arusha katika
mazingira ya kutatanisha huku mwili wake ukiwa mtupu. Anatarajiwa kuzikwa kesho Arusha.


kama hata mwili wake ulikuwa mtupu wewe ulitaka atupaje kondom kwenye dustbin.
 
Mkuu unaweza kusema ni viagra, lakini mnasahau kuwa jamaa inawezekana alinyonya matiti yenye yaliyowekewa sumu kwa lengo la kummaliza.
Uchunguzi wa kina unatakiwa kujua ukweli
Du Mungi wewe ni Mwanasheria mahiri nilifikiria ni wa CHADEMA tu lakini kwa hili naona unatafuta haki na kujua huyu Mtanzania na muArusha ni nini kimemuondoa.
  • Sumu huwezi kuweka kwenye Chuchu hasa ukizingatia jimama alilolibeba ni zoefu na limeshanyonyesha chuchu zake ni lazima zingeipitisha sumu na yeye kufa.
  • Ni lazima atakuwa amebanwa na handcachief yenye sumu puani kwani ni ndani ya dk 15 alishaisha,
  • Simu walizopigiana zikifuatiliwa huyo mdada atajulikana kwani ni ajabu hajajitokeza POLISI au msibani
  • Viagra huwa inazidisha ongezeko la damu kwenye mishipa na nasikia hata ndani ya masaa 6 inakuwa Erect
Bado Mungi tunakutegemea kwa update za hapo Arusha hatakama ni Magamba wewe wavamie tu tupate ukweli wa kifo cha Aibu au ni Madini
 
Last edited by a moderator:
Una uhakika Mungu amempenda zaidi? ??
Tangu lini mungu akaanza kupenda Wazinzii?? ?


......

Watu bwana. Mungu anhubiri kila leo tuache dhambi hatutaki. kiburi cha uzima na mafanikio tunamkufuru Mungu. afu mtu akifa utasikia oooh! mungu kampenda zaidi. oooh! mungu amlaze pema peponi.

MNAMPANGIA MUNGU?
ACHA DHAMBI SASA KAMA UNATAKA KWENDA MAHALI PEMA PEPONI. MNADAHANI MUNGU NI MWANASIASA.

UTAVUNA ULICHOPANDA. UKIFA HAKUNA MAOMBEZI YATAKAYO KUOKOA
. SHIKA SHERIA ZOTE 10 ZA MUNGU (KUTOKA 20: 3-17) NA IMANI YA YESU.

(UFUNUO 14:12)
NA TUMWABUDU NA KUMSUJUDU MUNGU ALIEZIUMBA MBINGU NA NCHI NA BAHARI NA VYOTE VILIVYOMO. UTUKUFU UNA YEYE TANGU MILELE NA HATA MILELE, AMINA.
 
watu bwana. Mungu anhubiri kila leo tuache dhambi hatutaki. kiburi cha uzima na mafanikio tunamkufuru Mungu. afu mtu akifa utasikia oooh! mungu kampenda zaidi. oooh! mungu amlaze pema peponi. MNAMPANGIA MUNGU?
ACHA DHAMBI SASA KAMA UNATAKA KWENDA MAHALI PEMA PEPONI. MNADAHANI MUNGU NI MWANASIASA. UTAVUNA ULICHOPANDA. UKIFA HAKUNA MAOMBEZI YATAKAYO KUOKOA
. SHIKA SHERIA ZOTE 10 ZA MUNGU (KUTOKA 20: 3-17) NA IMANI YA YESU. (UFUNUO 14:12) NA TUMWABUDU NA KUMSUJUDU MUNGU ALIEZIUMBA MBINGU NA NCHI NA BAHARI NA VYOTE VILIVYOMO. UTUKUFU UNA YEYE TANGU MILELE NA HATA MILELE, AMINA.
Si ndo hapo kaka yangu.
Watu wamezoea ku- lobby kwenye issue zao mbalimbali ili wapate mteremko, wanafikiri hata kwa Mungu wata-lobby hivyohivyo.
 
benson-mollel.jpg

Aliyekuwa mjumbe wa baraza kuu la Uvccm mkoani Arusha,Benson Mollel aliyevalia shati la kung'aa tofauti na wenzake akitoa msaada kwa mtoto aitwaye frank wakati jumuiya hiyo ilipofanya ziara ya kutembelea wagonjwa katika hospitali ya mkoa ya Mt meru hivi karibuni enzi ya uhai wake,anayefuatia ni mwneyekiti wa uvccm mkoani hapa,Robinson Meitenyiku
Nimefurahi Story nzima imepatikana kwenye Blog
ya Jamii na mwandishi Pamela Mollel
BOFYA HAPA PIGO KWA CCM,,MJUMBE WA BARAZA KUU LA UMOJA WA VIJANA UVCCM NGAZI YA TAIFA MKOA WA ARUSHA AKUTWA AMEKUFA KATIKA HOTEL YA LUSH GARDEN BUSINESS JIJINI ARUSHA | JAMIIBLOG

[url]http://jamiiblog.co.tz/2013/03/03/pigo-kwa-ccmmjumbe-wa-baraza-kuu-la-umoja-wa-vijana-uvccm-ngazi-ya-taifa-mkoa-wa-arusha-akutwa-amekufa-katika-hotel-ya-lush-garden-business-jijini-arusha/


clip-12.jpeg

[/URL]
 
benson-mollel.jpg

Aliyekuwa mjumbe wa baraza kuu la Uvccm mkoani Arusha,Benson Mollel aliyevalia shati la kung'aa tofauti na wenzake akitoa msaada kwa mtoto aitwaye frank wakati jumuiya hiyo ilipofanya ziara ya kutembelea wagonjwa katika hospitali ya mkoa ya Mt meru hivi karibuni enzi ya uhai wake,anayefuatia ni mwneyekiti wa uvccm mkoani hapa,Robinson Meitenyiku
Nimefurahi Story nzima imepatikana kwenye Blog
ya Jamii na mwandishi Pamela Mollel
BOFYA HAPA PIGO KWA CCM,,MJUMBE WA BARAZA KUU LA UMOJA WA VIJANA UVCCM NGAZI YA TAIFA MKOA WA ARUSHA AKUTWA AMEKUFA KATIKA HOTEL YA LUSH GARDEN BUSINESS JIJINI ARUSHA | JAMIIBLOG

PIGO KWA CCM,,MJUMBE WA BARAZA KUU LA UMOJA WA VIJANA UVCCM NGAZI YA TAIFA MKOA WA ARUSHA AKUTWA AMEKUFA KATIKA HOTEL YA LUSH GARDEN BUSINESS JIJINI ARUSHA | JAMIIBLOG

clip-12.jpeg

ooooh! Slaa kaiba mke wa mtu. oooh! NI MZINZI. HAPA VIPI. Ya slaa ni maisha ya mtu binafsi ambayo wanadamu wengi wanayo. mfano ni huyu jamaa. inashangaza chama cha watu ambao walipaswa kuonesha wanaakili wakachukua maisha ya mtu kwenye kampeni badala ya kutuabia wamatekeleza nini na nini kipya wataleta. maisha binafsi wengi tunayo mapungufu. nawakumbusha kuhussu kamanda ballo. kisha huyu jamaa. haya ni maisha binafsi. leteni sera sio uchwara. hata hivyo hebu tuache uzinzi jamani. kifo cha jamaa kinatofauti ndogo sana na kamanda ballo. them kuu ni ileile.
 
PROF PHILOSOPHY
Sijakuelewa kumlinganisha Ben Mollel mnunuzi wa madini aliyekuwa akinunua madini kwenye Room ya Hotel LUSH GARDEN BUSINESS tena kwa mnunuzi wa pili ambaye ni mwanamke, Presha au kifafa kikamkuta tena mlango uko wazi wewe unatuambia uelezwe watu 'walipaswa kuonesha wanaakili wakachukua maisha ya mtu kwenye kampeni badala ya kutuabia wamatekeleza nini na nini kipya' ungefunguka maana hueleweki,
Huyu kijana ni maarufu kuliko wewe Professor sasa ulitaka azikweje? mbona mnakuwa wazito kuelewa ubinadamu na Siasa
Upelelezi umesema wale ni wake za watu au wafanyabiashara.
Halafu unalinganisha na Mtu kupora Mke wa mwenzio na kummiliki kabisa ACHENI PAPA BENEDICT XVI AJIUZULU
 
PROF PHILOSOPHY
Sijakuelewa kumlinganisha Ben Mollel mnunuzi wa madini aliyekuwa akinunua madini kwenye Room ya Hotel LUSH GARDEN BUSINESS tena kwa mnunuzi wa pili ambaye ni mwanamke.

Presha au kifafa kikamkuta tena mlango uko wazi wewe unatuambia uelezwe watu 'walipaswa kuonesha wanaakili wakachukua maisha ya mtu kwenye kampeni badala ya kutuabia wamatekeleza nini na nini kipya' ungefunguka maana hueleweki.

Huyu kijana ni maarufu kuliko wewe Professor sasa ulitaka azikweje? mbona mnakuwa wazito kuelewa ubinadamu na Siasa.

Upelelezi umesema wale ni wake za watu au wafanyabiashara.
Halafu unalinganisha na Mtu kupora Mke wa mwenzio na kummiliki kabisa
ACHENI PAPA BENEDICT XVI AJIUZULU

.....

Viagra itawamaliza sana wazinzi kama wataendelea kuitumia bila kupimwa na Daktari kwanza. Tafuta watoto wa shule ya chekecheke ndio ukawaeleze hizi ngonjera zako, No Wonder hata akili zako ni Ukwaju tu.
 
Nimeshangaa haya:
1. Mwili wa marehemu ulikutwa ukiwa na kondom, na ukapelekwa hivyohivyo hospitali. Badae polisi wakaja kuchukua kondom. Wameipeleka wapi? Matarajio yangu condom ingefanyiwa uchunguzi wa DNA hukohuko hospitali ithibitike ilimwingia nani. Huyo angeisaidia polisi uchunguzi. Usijekuta wameitupa!
2. Mganga mkuu wa mkoa anasema uchunguzi wa maiti utategemea maagizo ya polisi. Ni sheria ya nchi gani hiyo? Kwa hiyo polisi wakisema msichunguze hamtachunguza? Nahisi daktari amechemka au anaogopa siasa. Ninavyofahamu mimi vifo vya namna hiyo uchunguzi ni mandatory na ripoti inaingia kwenye record hata kama polisi hawajasema (kama polisi wakihusika na kifo unadhani watasema kichunguzwe?)
 
Du Mungi wewe ni Mwanasheria mahiri nilifikiria ni wa CHADEMA tu lakini kwa hili naona unatafuta haki na kujua huyu Mtanzania na muArusha ni nini kimemuondoa.
  • Sumu huwezi kuweka kwenye Chuchu hasa ukizingatia jimama alilolibeba ni zoefu na limeshanyonyesha chuchu zake ni lazima zingeipitisha sumu na yeye kufa.
  • Ni lazima atakuwa amebanwa na handcachief yenye sumu puani kwani ni ndani ya dk 15 alishaisha,
  • Simu walizopigiana zikifuatiliwa huyo mdada atajulikana kwani ni ajabu hajajitokeza POLISI au msibani
  • Viagra huwa inazidisha ongezeko la damu kwenye mishipa na nasikia hata ndani ya masaa 6 inakuwa Erect
Bado Mungi tunakutegemea kwa update za hapo Arusha hatakama ni Magamba wewe wavamie tu tupate ukweli wa kifo cha Aibu au ni Madini
Mchezo wa kunyonyeshwa matiti mbona ndio maarufu hapa Arusha. Yule Ofisa Usalama wa Taifa aliyeibiwa bastola pale Picnic wakati wa uchaguzi mkuu uliopita alinyonyeshwa matiti akalala fofofo, jimama likatambaa na kila kitu ikiwamo bastola. Ilitafutwa sana hadi leo haijaonekana.
 
Back
Top Bottom