Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Mkuu chama hii kauli yako ina chembechembe za matusi. Kwa tunaojua utumiaji muafaka wa maneno MSHENZI na MUUNGWANA tunajua WASHENZI ni wapi na WAUNGWANA ni wapi hasa ukikaa upande fulani. Haya maneno huwa yanatumika sana kuwarejea watu wa Mrima na Watu wa Pwani. Mkuu tafakari

Mkuu Kimbunga
Hakuna tusi ni lugha tu washenzi wa tabia wanajijua acha niishie hapa nikiongea kiswahili fasaha na kuweka viwakilishi vya nafsi kiambata nitakula ban; unajua mods kiswahili kinawasumbua!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Alivyoandika "Mungu amlaze mahali atakapo" ni sahihi. Maana ni Mungu peke yake anayejua kama jamaa amekufa akiwa ameokoka au la kwani baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).
 
Hii iliyopewa jina la San Abachafin ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume, maarufu kwa jina la viagra. dawa hizi zilitengenezwa maalum kwa wale wanaume ambao hawawezi kupata erection wakutanapo na mwanamke.

Tatizo lililopo sasa kuna wanaume wengi, na wengine ni vijana wasio na matatizo kabisa lakini wantumia kwa nia tu wakutanapo na wapenzi wao waonekane wanaume wenye nguvu sana na wenye kuwaridhisha wapenzi wao.

Ushauri, kama huna tatizo, usitumie dawa hizi kabisa. Na kama una tatizo, basi ni vizuri ukapata ushauri wa wataalam. Dawa hizi zimethibitika kuwa na uwezo kusababisha heart attack na hata upofu wa macho, pale zinapotumika zaidi ya mara moja ndani ya masaa 24. Kama umechoka na huwezi kuendelea kushughulika na mpenzi wako, mwambie tu umechoka, tafuta muda mwingine ambao utakuwa na nguvu ya kutosha. Njia sahihi ya kupata nguvu za kutosha ni kufanya mazoezi ya mwili, kula vyakula vya asili kama matunda, mboga na vyakula vya wanga. Hivi ndivyo vitakupa nguvu za kutosha na kwa muda mrefu.

Dada Bubu msemaovyo. Naomba maelezo ya kina hii inayoitwa Sani abachafin ndio nini? Ikoje na tunaweza kuikwepa ? Maana mwenzio akinyolewa wewe Tia maji
 
Kwa hali hii Tanzania hamna polisi wa kufanya uchunguzi juu ya matukio.

Kama wamemkuta akiwa mtupu, kunazo condom, na kila kitu kingine kipo kama kilivyo, swali langu ni kuwa:
1. Je walipiga picha eneo la tukio.
2. Wamekuta silaha, ilikuwa na risasi ngapi?
3. Wamekuta fedha, ni kiasi gani?
4. wamekuta Tanzanite, ni kiasi gani?
5. Wameambiwa walikuja wanawake wawili, mmoja anafahamika, mwingine hafahamiki, je huyu ni kawaida yake kuwa na wanawake kwenye eneo hilo?
6. Kuna kamera za usalama katika hoteli au ndio kusikia ya mlinzi?
7. Mlinzi anao ujuzi gani katika fani?
8. Simu za marehemu aliwasiliana na nani wakati gani?
Nadhani hayo ni baadhi ya maswali ambao baadhi Polisi wangekuwa wameshapata majibu na kutoa taarifa yenye mashiko, yaani kwa wakati husika, yenye ujumbe, na viwango (Qualitative and quantitative report). Polisi acheni longolongo.

Sio kwa kuwa ni kada wa chama ndio mrahisishe au muongee haraka bila ya kuwa na vielelezo. Polisi acheni kuegamia kichama, fanyeni kazi ya kuhakikisha usalama wa raia na sio usalama wa wananchama.

Mkuu inaonekana hujawahi kosa episode za CSI!
 
Du nimekubali si mchezo ... hii kitu inaitwa Viagara kumbe si mchezo? nilikuwa nazidharau sana before.

Sani Abachafin ni vidonge vya kuchochea hamu wakati wa tendo la ngono (Viagra) alivyotumia Sani Abacha aliyekuwa Rais wa Nigeria aliyetoa amri ya kumuua Ken Sarowiwa. Kumbuka wewe!!!!!

Nigeria: General Sani Abacha victim of Viagra.Died June 8, 1998 officially of a heart attack, President Sani Abacha died of viagra the newspaper Newswatch, taken by the Sunday Times of London.
General Sani Abacha (54), President of Nigeria enjoyed the company of prostitutes. He was seized with convulsions while he was in bed with two women. One of them came out screaming.
The heart of the Nigerian dictator would not have endured the antics a bit too energetic to whom he had engaged after taking a "miracle pill".
Another hypothesis is that he was poisoned by his entourage with a pill of Viagra "doctored".
His widow Mariam Abacha "believes that her husband was killed by his best friends" told the magazine Newswatch.
After taking power in November 1993, he abolished all democratic institutions and replaced many civilian officials with military leaders.
On 10 November 1995, his government had condemned the public hanging of writer Ken Saro-Wiwa and eight other Ogoni leaders of the community in the Niger Delta. This act denounced internationally led to the diplomatic isolation of Nigeria.
As the country sank into poverty and corruption, Abacha had turned in five years more than 1.7 billion U.S. dollars.
General Abdulsalami Abubakar who succeeded him handed over power to President Olusegun Obasanjo, elected democratically in 1999.



 
Sikonge acha hizo! Mbona tunaambiwa wanyamwezi ni mwisho wa maneno? Maujuzi kama wana PHD ya ?? Ntatembelea Sikonge nijionee
Karibu sana SIKONGE ila tu na wewe beba SEMkondom zako za kutosha maana Kamdudu pia huku kapo, siyo siri.

halafu ungejua wanyamwezi kwa kpenda mabinti wa kitanga usingesema aisee bwashee! kwa hiyo umemuacha yule dada yetu au?
Ni kweli Babu na Baba zetu walipenda sana na walipoenda kufanya kazi Tanga, hawakurudi. Mie huko wala sitaki kufika, hihiii.... Mabinti wa Tanga watanisikia tu, na Masaburi yao Makubwa, sidanganyiki.
...ni kweli huyo dada ni Mchaga, anaishi Nzega (Kitongo) na ni mke wa mtu....wakati anamuua huyo MC, alikuwa kenda kwao Moshi kusalimia wazazi....anafahamika sana kwa kila mtu!!!
Huyu Dada tumeshambadilisha, unachezea kushinda na akina dada wa Kinyamwezi na kupewa shule ya Unyago?
Mh! Mbona nasikia wachaga ni mabingwa wa kusoma magazeti wakiwa katika 6x6!
Ni kweli Wachovu sana ila wakishakaa Unyamwezini, wanapata shule nzuri tu na kuwa mahiri.

Wanyamwezi na nyie ni tatizo kwana afadhali wa huku kaskazini,maana mabinti wa kinyamwezi ni hatari sana,akigongwa inakuwa tatizo.
Sasa je? Dada zangu wanajua kupenda na siyo Roho Mbaya kabisa.

...hawa wachagga wanaoishi unyamwezini weee, ni nouuuuuuuma hawana tofauti na wanyamwezi...
Ni kweli kabisa Domhome. Ukishafika Unyamwezini, unaanza kuwa kama wao.
 
  1. Do not take Viagra if you are also using a nitrate drug for chest pain or heart problems. This includes nitroglycerin (Nitrostat, Nitrolingual, Nitro-Dur, Nitro-Bid, and others), isosorbide dinitrate (Dilatrate-SR, Isordil, Sorbitrate), and isosorbide mononitrate (Imdur, ISMO, Monoket). Nitrates are also found in some recreational drugs such as amyl nitrate or nitrite ("poppers"). Taking Viagra with a nitrate medicine can cause a sudden and serious decrease in blood pressure. During sexual activity, if you become dizzy or nauseated, or have pain, numbness, or tingling in your chest, arms, neck, or jaw, stop and call your doctor right away. You could be having a serious side effect of Viagra.
  2. Do not take Viagra more than once a day. Allow 24 hours to pass between doses. Do not take Viagra while also taking Revatio, unless your doctor tells you to. Contact your doctor or seek emergency medical attention if your erection is painful or lasts longer than 4 hours. A prolonged erection (priapism) can damage the penis.
  3. Viagra can decrease blood flow to the optic nerve of the eye, causing sudden vision loss. This has occurred in a small number of people taking Viagra, most of whom also had heart disease, diabetes, high blood pressure, high cholesterol, or certain pre-existing eye problems, and in those who smoke or are over 50 years old. It is not clear whether Viagra is the actual cause of vision loss.
  4. Stop using Viagra and get emergency medical help if you have sudden vision loss.
 
Kwani maccm yameshaanza kutoana roho!? manake kwa upande wa CDM arusha huyu alikuwa hana threat yoyote, labda huko kwenye gambaz mambo ya kufukuzia uteuzi 2015

Ishu yake kwa sehemu kubwa inahusishwa na kukamatwa kwa mtoto wa kigogo kule kwa hu jintao akiwa na unga....... marehemu alikuwa anajua vizuri mpango mzima, inawezekana kamalizwa fasta kabla mambo hayajawa makubwa........... inghondu atakuwa kafanya ya ulimboka
 
Ishu yake kwa sehemu kubwa inahusishwa na kukamatwa kwa mtoto wa kigogo kule kwa hu jintao akiwa na unga....... marehemu alikuwa anajua vizuri mpango mzima, inawezekana kamalizwa fasta kabla mambo hayajawa makubwa........... inghondu atakuwa kafanya ya ulimboka
Acheni kupakazia watu mambo ya kijinga, yeye alidhani bwambwa linakomeshwa mpaka ulinywee Viagra? mtu kakutwa uchi na Condom zimeshatema mzigo wewe unaleta tamthilia za Inghondu unataka tukuelewe vipi?
 
Acheni kupakazia watu mambo ya kijinga, yeye alidhani bwambwa linakomeshwa mpaka ulinywee Viagra? mtu kakutwa uchi na Condom zimeshatema mzigo wewe unaleta tamthilia za Inghondu unataka tukuelewe vipi?

lolote linaweza kutokea tusubiri report za police

Inawezekana ni Viagra kweli ama aliuliwa ..Nashangaa hiyo perfomance ya dakika 45 ilikuwa ya aje mpaka imtoe uhai :A S 39:
 
lolote linaweza kutokea tusubiri report za police

Inawezekana ni Viagra kweli ama aliuliwa ..Nashangaa hiyo perfomance ya dakika 45 ilikuwa ya aje mpaka imtoe uhai :A S 39:
Ukimeza ile kitu Viagra unaweza kukaa juu ya kifuwa cha Mwanamke bila kushuka na unaweza ukashuka na bado Dushelele likaendelea kusimama tu. wengi hufa kwa pressure, hupaswi kutumia hivi vitu bila ya kupimwa na Daktari na kushauriwa, ni maalum kwa wale ambao hawana nguvu Nature.
 
Back
Top Bottom