Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

labda alikuwa na pressure saa anapiga bao pressure ikapanda zaidi then aka ascend to the world of spirits

Mkuu OSOKONI umenichekesha!Huenda jamaa alizimia tu kama sungura. si unajua sungura akifika mshindo lazima azimie
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa, kwa kweli inasikitisha na kufurahisha. Nzi kufia kwenye Kidonda si hasara.

Yule Rais wa Nigeria nasikia walimtafutia Mabinti wa Kihindi, na Mabinti wanajua Kulamba si kawaida. Jamaa alilambwa kila sahemu Sensitive hadi akashindwa kuhema kwa raha, AKAFA. Nigeria Wakapoteza Rais haki ya Nani.

Na haka kamchezo kwa Back Door hatari sana, wanaume Mkaogope maana nasikia jamaa alipakuliwa huko 🙁

Afu mkome kunifanya nionekane chizi ndani ya daladala kwa kucheka peke yangu.
 
Inasikitisha kwakweli, mengi yanaweza kuchangia ila la kutokea ndo lishatokea tena!
 
Polisi wa Tz bana wanafurahisha sana, sasa walipeleka kondomu za nini mochwari? Na baadae wakaona wamebugi wakakurupuka kuzirudia. Nimecheka sana.

Tukio zima linasikitisha kwa kuwa tumempoteza kijana mwenzetu lakini ukiangalia kwa undani utendaji kazi wa polisi kunapo jitokeza matukio kama haya unajikuta huzuni inageuka kicheko. Hata mimi nimejiuliza swali la Polisi kupeleka mipira ya kiume monchuary nimekosa majibu.
 
Mungu akulaze unapostahili Ben.Nitakumis sana mchizi wangu upole wako na utaratibu wako ulikuwa kivutio kwa vijana wengi tuliokuwa wote chuo
 
Mbinguni si mochorwe kila mmoja aingie peponi hizi sala naona tunazitumia kimakosa. hata kama amefia kwenye uzinzi basi awekwe mahali pema peponi? tumuachie Mungu ndie ajuaye atamuweka wapi kulingana na matendo yake aliyoenenda wakati akiwa hai hapa duniani
 
Polisi wa Tz bana wanafurahisha sana, sasa walipeleka kondomu za nini mochwari? Na baadae wakaona wamebugi wakakurupuka kuzirudia. Nimecheka sana.

Naona siku hizi somo la forensic investigation halifundishwi huko chuo cha polisi. Usishangae labda hao ni polisi voda fasta wamesomeshwa shasha au nipolisi jamii na hivyo hawana mafunzo. Ndiyo hayo matatizo ya kutumia akili ndogo kutatua jambo kubwa!!!!
 
Hutu Tubinti twa Kisasa ni kasheshe kwelikweli. Hasa hawa wa Kanda ya Kaskazini ni Matata mno.

Nakumbuka yule MC alifia Guest Moshi kama miaka 3 iliyopita alikuwa wa huko.

Amekuja Lulu na yeye wa hukohuko Kaskazini. Yeye alitoa tu taarifa kwa mdogo mtu "Kamuone Kaka yako, Kaanguka HAJIWEZI."

Sasa huyu na yeye kafia Hotelini, mhhhh..... Sintashangaa kuwa ni Binti wa Kaskazini pia.

Ngoja nibaki na Wanyamwezi wangu huku, Wa Kaskazini na hasa Tanga, MNIKOME kabisa Mnyamwezi mie.
Sikonge acha hizo! Mbona tunaambiwa wanyamwezi ni mwisho wa maneno? Maujuzi kama wana PHD ya ??
Ntatembelea Sikonge nijionee
 
Huyu kamanda wa polisi wa Mkoa wa Arusha hafai kuwa msemaji wa polisi hata kidogo.

Sijui polisi wetu wanapata mafunzo wapi hata vitu vidogo kama hivi wanashindwa hata kuchagua nini kiwe kwenye public domain na kwa wakati gani. Maelezo yake yanakuwa kama ya kubeza na kumkomoa marehemu au familia yake wakati hata uchunguzi makini kikosi chake hakijafanya.

Maelezo yake ukiyachunguza yanajenga hitimisho la sababu ya kifo wakati hata baadhi ya vidhitibiti ambavyo vingewasaidia katika uchunguzi wamevipeleka na Marehemu mortuary.

Kwa kamanda wa mkoa wa Arusha kuchukulia jambo kama hili kirahisi namna hii wakati kuna familia inaomboleza ni kukosa hekima, busara na huruma, zaidi na muhimu ni kukiuka misingi ya kazi yake.
 
Hutu Tubinti twa Kisasa ni kasheshe kwelikweli. Hasa hawa wa Kanda ya Kaskazini ni Matata mno.

Nakumbuka yule MC alifia Guest Moshi kama miaka 3 iliyopita alikuwa wa huko.

Amekuja Lulu na yeye wa hukohuko Kaskazini. Yeye alitoa tu taarifa kwa mdogo mtu "Kamuone Kaka yako, Kaanguka HAJIWEZI."

Sasa huyu na yeye kafia Hotelini, mhhhh..... Sintashangaa kuwa ni Binti wa Kaskazini pia.

Ngoja nibaki na Wanyamwezi wangu huku, Wa Kaskazini na hasa Tanga, MNIKOME kabisa Mnyamwezi mie.
halafu ungejua wanyamwezi kwa kpenda mabinti wa kitanga usingesema aisee bwashee! kwa hiyo umemuacha yule dada yetu au?
 
Tatizo vijana wa siku hizi mirungi imewamaliza.inabidii watumie viagra bila viagra hakuna kitu matokeo ndio hiyo kama unagojwa wa moyo au presha ndio hivyo tena.
 
Inawezeka wakiwa katika majambos binti alisema peooopleeeees!!!!!!!!!!!!!!!jamani akapatwa na mshituko akafa.

......

Hilo nalo neno, yanawezekana neno peopleeees power toka kwa mmoja wa mmama ikawa ndo limemtoa nafsi??? Peopleeees power hatari sana.
 
DUH UJANA MAJI YA MOTO, WALIINGIA CHUMBANI MWAKE MADEMU WAWILI HALAFU AKAKUTWA NA MIPIRA YA KIUME aka KONDOMU, MOJA IMETUMIKA NYINGINE LAH, APA UYU DOGO KADONDOKA JUU YA KIFUA CHA MWANAMKE, ALA ALA MSITUTUHUMU CHADEMA MAANA KILA UPUUZI WENU MACCM HUSEMA NI CHADEMA. MAGAMBA KOMENI KABISA

.....


Ni nini kipya hapo kwani kondomu ni kwamba kada alikuwa anajilinda na maambukizi.
 
Subirini wasifu wa marehemu ulioandikwa na uvccm. Japo amekufa akiwa uchi akizini (ushahidi ni mabao ndani ya ndomu) na mwanamke asiye mke wake, utasikia marehemu amekufa kishujaa, na ameacha pengo lisilozibika!
 
Back
Top Bottom