Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

duh hapo sasa hana cha kujitetea mbele ya Mungu.... yani kwa kikuria tunasema "caught in act"
 
Inawezeka wakiwa katika majambos binti alisema peooopleeeees!!!!!!!!!!!!!!!jamani akapatwa na mshituko akafa.

......

Chezea nini wewe CCM kama Arsenal Wakisikia Man U BP inapanda.Huyu Bw.Mdogo alijikoleka kwa Mimama ya Mjini ikammaliza Damu.

Inavyoonekana yule Nancy alielala nae usiku wa J.mos alipiga Game Kavu kavu na Mchana kile kidosho nasikia kilikuwa kinaitwa Mariam ndo akapiga Game kwa Ndom hadi kuzirai.

Inaonekana Bw.Mdogo alishazoa kula vitu Kavu kavu na aliponganganiwa kutumia Ndom nguvu ikamuishia.Ndom sio mchezo kama hujaizoea.
 
HIVI MIAKA YOTE ALIKUWA AKIISHI HOTELINI?huko alienda Kufanya nini ?KAMA AMEKUTWA NA CONDOM MOJA IMETUMIKA MOJA BADO ADHABU YA UZINZI MAUTI MNAENDA KUCHUNGUZA NINI?

Kama mmetangaza condom ZIKO 2 NINI KIMEWANYAMAZISHA KUTAJA HELA KIASI GANI WE KAMANDA?nini Kimejificha USITAJE KIASI CHA PESA NA KIASI CHA MADINI AMA NDIO KUFAA KUFAANA MAMBO YA KOVA NA POLISI WAKE WA 150MILION;

BINAFSI NAWAPA POLE WANAFAMILIA KWA KIFOI HIKI CHA AIBU NAJUA N MAPTO MUNGU AWATIE NGUVU MAANA NIJUAVYO UNAWEZA KUINGIA NA CONDOM 3 UKATUMIA MOJA HIZO BAO ZINGINE ZIKAMEZWA.

NDAN SASA ATUJUI DADA ALIVYOMWAGIWA AKAMWAMBIA AANADAE SANDA YAKUZIKIA AKACHANGANYIKIWA ANYWAY TUSUBIRI MWILI UTASEMAJE BURIAN MOLEL
.
 
Hutu Tubinti twa Kisasa ni kasheshe kwelikweli. Hasa hawa wa Kanda ya Kaskazini ni Matata mno.

Nakumbuka yule MC alifia Guest Moshi kama miaka 3 iliyopita alikuwa wa huko.

Amekuja Lulu na yeye wa hukohuko Kaskazini. Yeye alitoa tu taarifa kwa mdogo mtu "Kamuone Kaka yako, Kaanguka HAJIWEZI."

Sasa huyu na yeye kafia Hotelini, mhhhh..... Sintashangaa kuwa ni Binti wa Kaskazini pia.

Ngoja nibaki na Wanyamwezi wangu huku, Wa Kaskazini na hasa Tanga, MNIKOME kabisa Mnyamwezi mie.
...ni kweli huyo dada ni Mchaga, anaishi Nzega (Kitongo) na ni mke wa mtu....wakati anamuua huyo MC, alikuwa kenda kwao Moshi kusalimia wazazi....anafahamika sana kwa kila mtu!!!
 
Subirini wasifu wa marehemu ulioandikwa na uvccm. Japo amekufa akiwa uchi akizini (ushahidi ni mabao ndani ya ndomu) na mwanamke asiye mke wake, utasikia marehemu amekufa kishujaa, na ameacha pengo lisilozibika!
Komeo nasikia kuna na ibada ya mazishi
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo huenda marehemu alitoka kukamua kitu kilichomzindi uwezo!!!

Kwa mujibu wa Taarifa ni kwamba Jumamosi na jumapili alitembelewa na wanawake wawili chumbani kwake kwa umri wa huyo kijana na maadili yaliyopo kwenye chama cha akina Mwigulu nchemba asingewaacha watoke bila kuchezea fimbo kitu ambacho kinaweza kikawa kimepelekea kifo chake hasa ukiliangalia hili swala kwa jicho la kitabibu zaidi.
 
R.i.p.....

RIP kivipi wakati mtu kafia kwenye Uzinzi???
Inaelekea goli la pili kapiga kavukavu.

Tena kuna kitu kimoja hapa muhimu kwenye uchunguzi wao, Dushelelele ya jamaa ilikutwa imesimama??
 
vijana wa siku hizi bwana, mnashindana na sehemu mlipotokea eee.
 
Subirini wasifu wa marehemu ulioandikwa na uvccm. Japo amekufa akiwa uchi akizini (ushahidi ni mabao ndani ya ndomu) na mwanamke asiye mke wake, utasikia marehemu amekufa kishujaa, na ameacha pengo lisilozibika!

Mkuu Komeo, umenichekesha sana!!! Another reason why I love JF with all my heart, my soul and my strength!! Sichekei habari za kifo cha binadamu. Uhai wowote ni thamani!!
 
angejua bora asingetumia kondom,amekwepa UKIMWI lakini dah..........!!!!!!!!!!!!
 
Kwa hali hii Tanzania hamna polisi wa kufanya uchunguzi juu ya matukio.

Kama wamemkuta akiwa mtupu, kunazo condom, na kila kitu kingine kipo kama kilivyo, swali langu ni kuwa:
1. Je walipiga picha eneo la tukio.
2. Wamekuta silaha, ilikuwa na risasi ngapi?
3. Wamekuta fedha, ni kiasi gani?
4. wamekuta Tanzanite, ni kiasi gani?
5. Wameambiwa walikuja wanawake wawili, mmoja anafahamika, mwingine hafahamiki, je huyu ni kawaida yake kuwa na wanawake kwenye eneo hilo?
6. Kuna kamera za usalama katika hoteli au ndio kusikia ya mlinzi?
7. Mlinzi anao ujuzi gani katika fani?
8. Simu za marehemu aliwasiliana na nani wakati gani?
Nadhani hayo ni baadhi ya maswali ambao baadhi Polisi wangekuwa wameshapata majibu na kutoa taarifa yenye mashiko, yaani kwa wakati husika, yenye ujumbe, na viwango (Qualitative and quantitative report). Polisi acheni longolongo.

Sio kwa kuwa ni kada wa chama ndio mrahisishe au muongee haraka bila ya kuwa na vielelezo. Polisi acheni kuegamia kichama, fanyeni kazi ya kuhakikisha usalama wa raia na sio usalama wa wananchama.
 
Polisi wa Tz bana wanafurahisha sana, sasa walipeleka kondomu za nini mochwari? Na baadae wakaona wamebugi wakakurupuka kuzirudia. Nimecheka sana.
Hahahahahahaa.....hapo ndo ujue hakuna FORENSIC Investigation ndani ya police force.
Hawa ni migambo wa jiji tu, sio jeshi la police.

Ina maana kama kitu kama condom hawakujali kuona kama ni forensic evidence, watakuwa wame attempt hata kuchukua fingure prings au hata other evidence?
Wanachojua wao ni ku-collect mali za marehemu tu - simu, madini, na fedha.
 
Polisi wa Tz bana wanafurahisha sana, sasa walipeleka kondomu za nini mochwari? Na baadae wakaona wamebugi wakakurupuka kuzirudia. Nimecheka sana.

Wawe wanaangalia walau CSI itawasaidia!!
 
This is assassintion plot successfuly completed. Huyu binti wa pili amemnusisha sumu ambayo lazima ilizima respiration mara moja. Kumbuka amekaa dakika 15 tu na akatoka. Pia Wanasema huyo mtu ni mara ya kwanza kuja hapo hotelini.Hii ina maana kwamba marehemu alikuwa na wanawake zake wanaojulikana, bali huyu alikuwa mgeni kabisa mpaka wahudumu na walinzi wakamtilia shaka. Zikifuatiliwa simu alizopiga siku hiyo,lazima vigogo walio nyuma ya huu mpango watajulikana tu.
Na hata comments za humu JF zinaonyesha kuna watu wanajua kilichotoea na ndiyo wako busy kushabikia swala la kwamba jamaa kafa kwa uzinzi ili kuua so. Jikumbushe swala la Barllow, na ulinganishe na hili ndo utajua jinsi mafiosi wanavyofanya kazi kwa umakini....
 
wapenda ngono mliisha shauriwa mkienda guest na madem zenu mvae HELMENTA.haya sasa sijui kagongeshwa kichwa?
 
Kifooo kifoooo...kifo hakina huruma! Dr.Remmy Ongalla
 
RIP kivipi wakati mtu kafia kwenye Uzinzi???
Inaelekea goli la pili kapiga kavukavu.

Tena kuna kitu kimoja hapa muhimu kwenye uchunguzi wao, Dushelelele ya jamaa ilikutwa imesimama??

mmmmmmmmmmmmh_ya kweli haya mkuu...1
 
Huu haswaa ndo utamu K..! Unakula mpaka unavimbiwa..! Na ukiishavimbiwa unaburst..! Pumzika mahali unapositahili kamanda..!
 
Back
Top Bottom