Usioe mwanamke anayesuka nywele mpaka kwenye kiuno

Usioe mwanamke anayesuka nywele mpaka kwenye kiuno

Nywele zina shida gani kwani? Watu mnacomplicate sana, na ni moja ya dalili ya ukapuku.

📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌
 
Kwani ni nani aliyekuzuieni wanawake msianzishe na nyinyi nyuzi za kuobsess wanaume? Naona umesahau mnavyotunanga huko duniani. Mara mfumo dume, mara 50 kwa 50, mara haki sawa mara unyanyasaji wa kijinsia, mara siku ya wanawake mara... Yaani kote huko ni wanaume tu tunazungumziwa
Hakuna mtu ako na muda na ninyi,
Just stay calm and enjoy your ride niqah..!
 
Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?

Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??

Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
Hii inaonyesha jinsi gani mmetuteka katika akili na fikra zetu.
 
Wakuu tuwashauri wadogo zetu waoe wanawake wanaoweka blichi na marangirangi kichwani labda watapona au waoe wanaovaa vikuku miguuni
 
Raha yake ukimpiga mbuzi kagoma unazishika unazivuta huku unampeleka moto, wengine huwa wanainjoi kuwa dominated kwa style hiyo
 
Back
Top Bottom