Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,745
Aisee kweli wewe unajitambua, sasa wapo wenzio hawapo hivyo hao ndio wanaopigwa spana hapo kwenye madaSina kucha za bandia, hata rangi sijapaka. Kiufupi sina kitu fake mwilini mwangu.
Aisee kweli wewe unajitambua, sasa wapo wenzio hawapo hivyo hao ndio wanaopigwa spana hapo kwenye madaSina kucha za bandia, hata rangi sijapaka. Kiufupi sina kitu fake mwilini mwangu.
Duh!! Sawa.Kichwa ndio kimeongelea hapo ukiona anasuka minywele mpaka huko piga mwaga uji uji tembea usiweke kambi,
Rafiki, kusuka hizo rasta hata mie nimesuka ni kwamba tu kwa sasa nimeamua kukata nywele lkn siamin kama wanawake wote wanaosuka hizo nywele wana tabia mbovu. Kuna wanawake wanavaa kiheshima hawana hizo pigo mnazokataa ila ndio wachafu wa tabia balaa. Haya sasa machaguo ni yenu.Aisee kweli wewe unajitambua, sasa wapo wenzio hawapo hivyo hao ndio wanaopigwa spana hapo kwenye mada
Wewe upo kundi lipi unasuka au unanyoa? Tuanzie hapo alafu tuendelee km unaweza kamata glass piga funda moja kisha dondoka hapa..Rafiki, kusuka hizo rasta hata mie nimesuka ni kwamba tu kwa sasa nimeamua kukata nywele lkn siamin kama wanawake wote wanaosuka hizo nywele wana tabia mbovu. Kuna wanawake wanavaa kiheshima hawana hizo pigo mnazokataa ila ndio wachafu wa tabia balaa. Haya sasa machaguo ni yenu.
Nanyoa.Wewe upo kundi lipi unasuka au unanyoa? Tuanzie hapo alafu tuendelee km unaweza kamata glass piga funda moja kisha dondoka hapa..
😂😂Sasa hivi kila nikienda kwenye date nitakuwa natembea na 'tape measure'
Basi uwe unanyoa hivyo hivyo,Nanyoa.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]afu weweHuyu mtoto mtam hatare....
Niliwahi kumiliki chombo ya hivi, sema mambo yalikuja kuharibika alipo anguka na ungo, akakamatwa uchawi hukoooooo kwenye mitaa ya walio mzidi nguvu...
R.i.P my sweetheart...[emoji26] tutaonana badae hny..[emoji25]
".. hakika vitimbi(drama) ni vi kubwa/vingi.... "Sababu huijui kwani? Soma Quran surat Yusuf "inna kaydakunna ghadhim"
Hawa nao walianzishiwa uzi wao, hawatakiwi kabisa.Ndo pigo zenu hizi, SI mnataka wasiosuka[emoji41]
View attachment 2521818View attachment 2521832View attachment 2521835
#Kataa NdoaSema na wewe..hadi jf inaboa
Duu dada zangu kazi mnayo,bado wenye vigimbi nao mda si mrefu watafikiwa.Kama una mpenzi wako na anasuka manywele marefu yanayofika hadi kwenye kiuno chake achana nae huyo akufai kabisa kua mke.. piga chini kimbia huyo ni wakutafuna na kusepa tuu na sio kuoa na kuweka ndani.. utakuja kujutia sana ndugu yangu...
Zina kazi yake hizo usione zimesukwa tu ukachukulia kawaida,
YananikeraKwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?
Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??
Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
Nimeitika mkuu.....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]afu wewe