Usioe mwanamke anayesuka nywele mpaka kwenye kiuno

Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?

Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??

Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
Hapo kwenye kunyoa napo watakuja kuuliza, kunyoa nini??🤣🤣
 
Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?

Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??

Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
Mambo Karen..
 
medium-box-braids-for-white-girl.jpg
 
Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?

Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??

Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!

Hahaha...watu huwa na stress zao tu

Sasa mahali pa kuzionesha huwa ni JF nyuma ya keyboard
 
Subiri vijana waje wakwambie utafte hela maana haya masimango watasema n kwa sababu huna hela ya kumpeleka saluni.
 
Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?

Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??

Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
Kwani ni nani aliyekuzuieni wanawake msianzishe na nyinyi nyuzi za kuobsess wanaume? Naona umesahau mnavyotunanga huko duniani. Mara mfumo dume, mara 50 kwa 50, mara haki sawa mara unyanyasaji wa kijinsia, mara siku ya wanawake mara... Yaani kote huko ni wanaume tu tunazungumziwa
 
Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?

Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??

Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
Kila mtu na machaguo yake...infact ni kweli kama mtu anaunganisha nywele zake na manywele mengine...ana utimamu huyo?....
 
Back
Top Bottom