Usioe mwanamke anayesuka nywele mpaka kwenye kiuno

Usioe mwanamke anayesuka nywele mpaka kwenye kiuno

Wanaume tunapendana hatutaki hata mmoja wetu apotee!!!
Tuendelee kushauriana wanaume kwa sababu kila kitu sisi hata kufa mapema sisi
kwa sababu ya wanawake
Yaani inshort n kwamba mifumo ya dunia inapambana na sisi wanaume hebu check:

taasisi/sheria zilizo nyng znatetea wanawake,,, wewe cheki kuna utitiri wa NGO lukuki zinatetea wanawake

Nenda mahakamani sheria zote zinatetea wanawake

Nenda kacheki sheria ya ndoa kuhusu talaka, nayo inamtetea mwanamke

Check zinazoanzishwa kila sku mara
Ladys first, mara binti mapinduzi mara haki sawa hamsini kwa hamsini,,, mpaka bungeni kuna viti maalum kwa ajil ya wanawake

Yaan serikali, polisi, mahakama, jamii, NGO, ndoa, zote zinapambana na mwanaume huku zikimtetea mwanamke.

Ni wakati sahihi wa sisi wanaume kuteteana wenyewe la sivyo tutaendelea kuondoka dunian sababu ya hawa viumbe.
 
Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?

Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??

Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
Ni asili ya wanaume kuwa obsessed na mwanamke labda awe shoga au hanithi.
 
Tunapoelekea mtakuja kusema tusioe mwanamke mwenye "Uke".

Hivi haujui kwamba mwanamke ni urembo? Urembo mmoja wapo ni Nywele ambazo zina stylo tofauti ,binafsi napenda mwanamke anayesuka nywele ndefu.
Afadhali ww siyo mnafki,unajitambua
 
Kama una mpenzi wako na anasuka manywele marefu yanayofika hadi kwenye kiuno chake achana nae huyo akufai kabisa kua mke.. piga chini kimbia huyo ni wakutafuna na kusepa tuu na sio kuoa na kuweka ndani.. utakuja kujutia sana ndugu yangu...
Na ndo wanaolewa kweli kweli.
 
It's not about being a feminist! Anachosema careen kiko sahihi, kuna aina fulani ya obsession sio ya kawaida, ukifungua JF, trending threads.. mwanamke this, that, this, that!

Ni kama waanzisha uzi ni watoto sana wameanza kudeal na wanawake si muda, au hawana cha kufanya zaidi ya kufikiri kuhusu wanawake ama wanaenjoy sana kubattle na wanawake, Inashangaza mno.
Dunia imebaki na wanaume wachache sana.
 
It's not about being a feminist! Anachosema careen kiko sahihi, kuna aina fulani ya obsession sio ya kawaida, ukifungua JF, trending threads.. mwanamke this, that, this, that!

Ni kama waanzisha uzi ni watoto sana wameanza kudeal na wanawake si muda, au hawana cha kufanya zaidi ya kufikiri kuhusu wanawake ama wanaenjoy sana kubattle na wanawake, Inashangaza mno.
Msihangaike na wavulana wakubwa tupo kwa ajili yenu
 
We si pastor lakini mkuu?
Yeah kwani ma pastor hawagongi mkuuu

Kua uyaone nishawahi kutongozwa na sister wa kikatoliki mwenye matako yake makubwa nikapita naye mwaka 2021 tena akiwa amevaa nguo zake za kisista nilimfanya kama nilivyosema kwenye comment ndo maana nimekumbuka hilo
Hata sissi tunapenda chini mkuu

😑😑😑😑
 
Back
Top Bottom