Usioe mwanamke anayesuka nywele mpaka kwenye kiuno

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Kama una mpenzi wako na anasuka manywele marefu yanayofika hadi kwenye kiuno chake achana nae huyo akufai kabisa kua mke. Piga chini kimbia huyo ni wakutafuna na kusepa tuu na sio kuoa na kuweka ndani.

Utakuja kujutia sana ndugu yangu.
 
Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?

Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??

Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
 
etiii
IMG_20230218_173607.jpg
 
Kama una mpenzi wako na anasuka manywele marefu yanayofika hadi kwenye kiuno chake achana nae huyo akufai kabisa kua mke.. piga chini kimbia huyo ni wakutafuna na kusepa tuu na sio kuoa na kuweka ndani.. utakuja kujutia sana ndugu yangu...
Picha ipo wapi sasa
 
Alisikika feminist mmoja 😹
It's not about being a feminist! Anachosema careen kiko sahihi, kuna aina fulani ya obsession sio ya kawaida, ukifungua JF, trending threads.. mwanamke this, that, this, that!

Ni kama waanzisha uzi ni watoto sana wameanza kudeal na wanawake si muda, au hawana cha kufanya zaidi ya kufikiri kuhusu wanawake ama wanaenjoy sana kubattle na wanawake, Inashangaza mno.
 
Wanaume tunapendana hatutaki hata mmoja wetu apotee!!!
Tuendelee kushauriana wanaume kwa sababu kila kitu sisi hata kufa mapema sisi
kwa sababu ya wanawake
 
It's not about being a feminist! Anachosema careen kiko sahihi, kuna aina fulani ya obsession sio ya kawaida, ukifungua JF, trending threads.. mwanamke this, that, this, that!

Ni kama waanzisha uzi ni watoto sana wameanza kudeal na wanawake si muda, au hawana cha kufanya zaidi ya kufikiri kuhusu wanawake ama wanaenjoy sana kubattle na wanawake, Inashangaza mno.
🤣🤣🤣🤣 Jf inanivunja mapafu

Nyie si mliongea na shetani uso kwa uso hivyo vituko vyenu mlivyojadili ndo vinaleta hii kitu mzeeeee

Nasio kwamba wanaume hatuongelewi mnatuongelea sana sema tu ni kwamba hamleti thread zenu hapa mnajadili huko vijiweni na saloon kwenu

Looooooloooooolh
 
Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?

Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??

Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
Mwanamke anayenyoa ndio wife material. Nahisi inatupa picha ya mwanamke ambaye ni natural na ambaye hahangaiki na mapambo na urembo ili aweze kuvutia wanaume zaidi wakati tayari anae wakwake.
 
It's not about being a feminist! Anachosema careen kiko sahihi, kuna aina fulani ya obsession sio ya kawaida, ukifungua JF, trending threads.. mwanamke this, that, this, that!

Ni kama waanzisha uzi ni watoto sana wameanza kudeal na wanawake si muda, au hawana cha kufanya zaidi ya kufikiri kuhusu wanawake ama wanaenjoy sana kubattle na wanawake, Inashangaza mno.
Sababu huijui kwani? Soma Quran surat Yusuf "inna kaydakunna ghadhim"
 
Back
Top Bottom