Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,788
- 51,554
Mkuu vipi kama ana tattoo lakini hana Rasta wala kishundu?Mimi napenda demu anayefuga rasta, mwenye tattoo, na wowowo/kishuzi. full stop.

😁😁😁Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?
Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??
Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
😃😃anko dereva wacha tukufe tu hakuna namna.Msikufe aunt abiria...
Kuna wanaume wanawapenda hivyo hivyo mlivyo...
Hawa ndugu zetu wanahitaji maombi. Badala washughulikie mambo yao kila leo wanawake wanawake.Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?
Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??
Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
Nyoa upara utawavutia wengi sio unanyoa punk au kidoku alafu unajipiga ma-way utakua chakula cha wahuni mpaka akili ikukae sawa,Kwanini wanaume baadhi yenu mpo so obsessed sana na maisha ya wanawake kuliko maisha yenu binafsi..?
Kila thread ni mwanamke, mwanamke, hakuna kitu kingine cha kuwa keep busy..??
Enweiz, niendelee zangu kunyoa, njoo waambie pia wasioe mwanamke anayenyoaje..!!
Wanawake Pasua kichwa...Hawa ndugu zetu wanahitaji maombi. Badala washughulikie mambo yao kila leo wanawake wanawake.
Ulicho nifanyia jana sio poa jirani.Okay sawa.
Wee ukiona unapata pasua kichwa kila leo jitafakari. Kuna wanawake wa kueleweka wengi tu shida ni machaguo yenu.Wanawake Pasua kichwa...
Kichwa ndio kimeongelea hapo ukiona anasuka minywele mpaka huko piga mwaga uji uji tembea usiweke kambi,Wee ukiona unapata pasua kichwa kila leo jitafakari. Kuna wanawake wa kueleweka wengi tu shida ni machaguo yenu.
Ila umeweka kucha za bandia sasa kipi ni kipi?Mimi nimekata nywele karibu zote, nasubiri thread ya kutusema mana hamna jema.
Hiki kinaitwa chakula cha wahuni muongezee na tattoo uwe umekamilisha maelezo,Ndo pigo zenu hizi, SI mnataka wasiosuka😎
View attachment 2521818View attachment 2521832View attachment 2521835
Wala haina ubaya hiyo koment hata mwanafunzi beginner wa somo la Arabic language anaelewa. Ni kwamba niliyemquote alikuwa akikazia kwamba wanaume wapo obsessed na maisha ya wanawake kwanini? ndipo nikamjibu kwani hakijui chanzo? Chanzo ni kwajili wanawake wana vitimbi na hila kubwa.Hizi comments ungepeleka jukwaa la dini mkuu, huu uzi utachafuka sasa hivi
Pia napenda imekaa njema hiyo.Mkuu vipi kama ana tattoo lakini hana Rasta wala kishundu?
Wewe umekulia kijijini, usituletee ushamba wako wa kisabato hapa jjs2017Kama una mpenzi wako na anasuka manywele marefu yanayofika hadi kwenye kiuno chake achana nae huyo akufai kabisa kua mke.. piga chini kimbia huyo ni wakutafuna na kusepa tuu na sio kuoa na kuweka ndani.. utakuja kujutia sana ndugu yangu...
Sina kucha za bandia, hata rangi sijapaka. Kiufupi sina kitu fake mwilini mwangu.Ila umeweka kucha za bandia sasa kipi ni kipi?