Usioe mwanamke anayesuka nywele mpaka kwenye kiuno

Usioe mwanamke anayesuka nywele mpaka kwenye kiuno

Kama una mpenzi wako na anasuka manywele marefu yanayofika hadi kwenye kiuno chake achana nae huyo akufai kabisa kua mke.. piga chini kimbia huyo ni wakutafuna na kusepa tuu na sio kuoa na kuweka ndani.. utakuja kujutia sana ndugu yangu...
Chief, maisha ni kuchagua. Wanawake wanamaisha yao, ukishindwa kujiamini utaendeshwa. Tayari hapo umeendeshwa na uzinzi ikakupa mapichapicha yakwamba wote hao ni wahuni. Ulichagua so acha nao wachague, jiamini aisee, mnasikitisha aisee na mnashusha hadhi masculinity.
 
Wakuu tuwashauri wadogo zetu waoe wanawake wanaoweka blichi na marangirangi kichwani labda watapona au waoe wanaovaa vikuku miguuni
Hao ndio wenyewe sasa.

Nawapenda sana wanawake wenye vitabia vya umalaya wanakuwaga watundu sana kitandani "bad girls in bed"

Unapiga shoo unainjoi yaani
 
Mwanamke anayenyoa ndio wife material. Nahisi inatupa picha ya mwanamke ambaye ni natural na ambaye hahangaiki na mapambo na urembo ili aweze kuvutia wanaume zaidi wakati tayari anae wakwake.
Ndo wapaka bleach mkuu😁😁😁, Shauri yako
 
Kama una mpenzi wako na anasuka manywele marefu yanayofika hadi kwenye kiuno chake achana nae huyo akufai kabisa kua mke.. piga chini kimbia huyo ni wakutafuna na kusepa tuu na sio kuoa na kuweka ndani.. utakuja kujutia sana ndugu yangu...
TUPE SABABU ZA MSINGI MKUU.
Halafu fafanua manywele yale ya dukani?
Au hata wenye nywele zao za asili?
 
Back
Top Bottom