kutafuta maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuliwafukuza wakoloni sasahivi watu wetu wanakimbilia nchi za Ulaya kutafuta maisha mazuri. Isn't that failure?

    Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania USA kuna maeneo sio ya kutafuta maisha ni kutafutwa maisha yako

    Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa. Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo. Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani...
  3. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Wazazi mabinti zenu waliokuja kutafuta maisha Dar hela wanazowatumia wanazipata kwa tabu

    Nimeona hiki kitu leo nikizungumzie kwa sababu kinaniumiza sana. Mimi sehemu ninayo ishi kuna mabinti watano wame panga chumba kimoja, hawa mabinti umri wao ni kuanzia miaka 19 mpaka 25. Kilicho fanya niandike huu ujumbe ni kuwa, hawa mabinti wakiwa wana wasiliana na ndugu zao mkoani wana...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  5. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?

    Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?
  6. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenda kutafuta maisha Golf country kwa kijana sio jambo zuri?

    Ety wakuuu Tz Kuna high unemployment rate Kwanini ni vibaya vijana kwenda nchi kama Qatar Saudi Arabia Oman UAE Kutafuta maisha. Sio sawa kwanini toeni mawazo?
  7. excel

    JamiiForums Tanzania Unakuta Mtu anamwachia demu wake geto hadi wiki nzima halafu yeye anaendelea na misele ya kutafuta maisha. Ipo siku yako!

    Mabinti wa Yezebel siku hizi wanakuja kwenye makazi ya mabwana zao na Mipango kazi maalum.. Unakuta dem humjui vizuri, hupajui kwao, watu wa kwao hawakujui na wewe huwajui halafu unathubutu kumwachia chumba/nyumba halafu unasafiri zako.. Siku hizi wezi wengi huja kwako kama malaika Ipo siku...
  8. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Tushauriane hapa: Kipi bora kutafuta maisha ndio uyaishi au kuyaishi maisha ndio uyatafute

    Najua kwenye maisha kila mtu ana msukumo wa ndani unaomfanya ajibidiishe kutafuta mafanikio ambao kwa jina lingine huitwa ndoto Sasa je ni kipi ni sahihi kukifanya kwa mtafutaji, awe na ndoto fulani katika maisha yake aanze kutafuta kwa bidii ndio aiishi ndoto hiyo au awe na ndoto fulani katika...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Huyu fundi umeme kaacha alama kwenye nyumba hii

    Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
  10. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtanzania amewahi kwenda kutafuta maisha nchini India akatoboa?

    Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha. Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu. Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nikigraduate tu, siwezi kutafuta maisha Tanzania, naanza na Botswana

    Ajira ni ngumu, lakini duniani huko ajira ni nyingi sana, Bora nikawe mlinzi Dubai kuliko kuwa mlinzi wa Suma jkt hapo dsm.. Nikiwa nje nitafanya KAZI yoyote mpaka nitoboe kama itapendeza ntaoa jimama la kizungu linipe uraia. Bongo Sina future napo.
  12. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kujenga kwanza au kutafuta maisha na kukuza mtaji? Uko upande upi?

    Mjadala huu kuhusu "kujenga na kutokujenga" ni mzuri sana kwa sababu unagusa maisha ya kila mtu kwa njia tofauti. Kuna mitazamo mingi inayotokana na uzoefu wa watu, hali ya uchumi, na vipaumbele vya maisha. Ili kuunda makala yenye ushawishi, tutachanganua hoja kuu zinazojitokeza kisha...
  13. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Usiende ughaibuni kutafuta maisha

    Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar, Nahitajika kuwa na vitambulisho gani?. Naenda kutafuta kazi.

    Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
  15. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Toka Mchamba Wima hadi Iran, nahitaji kwenda kutafuta maisha

    Vijana wengi hapa Mchamba Wima wamekimbilia Marekani, Canada na UK kutafuta maisha. Mimi naona wamepotea. Mimi nataka kwenda Iran au Saudi Arabia naamini Waarabu na Waajemi watanipokea na kunipa mke nioe ili niweze kupewa ukaazi wa kudumu. Ikiwa wale walioenda marekani, canada na uk wameoa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Niende nchi gani nje ya Afrika kutafuta maisha na kutoboa kirahisi?

    Igweeee Waswahili husema bongo bahati mbaya,, hatimaye zamu yangu kwenda ng'ambo imekaribia Ni hivi nimekuwa na ndogo hii kwa muda mrefu baada ya kuimaliza elimu ya chuo bongo na kusota bila ajira na hivyo akili yangu yote ikawaza kuhama hii nchi kwenda kutafuta maisha nchi yoyote tofauti na...
  17. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Sehemu za kwenda kutafuta maisha kwa vijana ni hizi hapa Tanzania

    Habari ya 8 8 viongozi, Njooni tupeane connection ya sehemu ambazo zina potential kwa sisi vijana kwenda kujipambania. Nitaanza kama ifuatavyo. 1. Dar es Salaam na viunga vyake Ebhana hii sehemu ukiwa na nidhamu ya pesa ukaweza kucontrol matumizi vizuri Basi Mwenyezimungu anaweza kukunyooshea...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Watu tunatoka mbali sana katika harakati za kutafuta maisha

    Ndugu zangu kwa sisi tulikulia katika familia za kimasikini huwa tunapitia mateso mengi sana hadi kufikia ndoto zetu. Hiyo picha hapo chini, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri sana hapa nchini, ukiitizama kwa makini unaona ni jinsi gani binadamu tunatoka mbali katika hali ya kujitafutia maisha.
  19. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaopenda kwenda ughaibuni kutafuta Maisha

    Ndugu zangu kama kawaida yangu Huwa nikipata wasaha wa kuwaasa vijana wenzangu , Huwa sipendi kuwa mchoyo wa taarifa hivyo Leo nimeona niwafunue ubongo maana kupitia bandiko langu nililoweka la fursa za ajira Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu Watu wengi wamekuwa wakinitafuta kwaajili ya...
  20. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kutafuta maisha mjini

    Episode 1: Safari ya Maisha (Safari of Life) Nilifika mjini nikiwa na ndoto kubwa mfukoni na shilingi chache mkononi. Nilikuwa nimekimbia maisha magumu kijijini, nikiamini mjini ndio mahali penye fursa tele. Lakini nilipogonga kituo cha mabasi, niligundua safari yangu itakuwa ngumu kuliko...
Back
Top Bottom